Bado mpo lala ukiamka utakauta bado mpoElanga kakosa and we are out of FA cup![]()
Mkuuuu syo umeanza kumtupa mkono tayari hakuna kitu miaka 36+ bado kijana tu hapna mkuuu hyo ni kibabau cha makumbushotumecheza vizuri, tumepot3za nafasi nyingi.....la msingi msimu ujao tuwe na namba 9 ya kueleweka Ronaldo umri umeanza mtupa mkono
Kwa nafasi ya heshima tunaomba utuletee next opponent


hao ndio utawawezaKikosi kinatisha eh?Kikosi kinatisha wajomba kisipo shinda yatakuwa ni maajabu sasa yani kikosi lazima madogo wajambe jambe huko.View attachment 2108206
Hamna chenu top 4 muisahau, uefa soon mtaachia ngazi.FT imeisha 1 - 1 kwasababu hatutumii vizuri nafasi tunazopata, kufungwa goli 1 siyo shida kama unaweza kufunga 3 na hicho ndiyo tunakikosa.
Mpaka hapa msimu ulipofikia sina cha kuwadai Manchester United zaidi ya top 4 kwenye PL kama ikitokea watashinda kombe lolote msimu huu kwangu itakuwa ni bonus tu. Tuna msimu mbaya sana nategemea tutaanza vizuri msimu ujao.
Shangaa na weweKombe lolote you mean UEFA
![]()



Okey na iwe kheriNdiyo!
Shida yenu united ubishiWatu wa Asno bwana
Wanapata wapi raha ya kulala nyumbu hawaNyie kenge amkeni pumbavu, jana mmetulia hela zetu, hakuna ruhusa ya kulala
Mmeshaanza kuitana machoko sioUshoga mtupu.
Nililewa nikaja kushtuka kipindi cha pili..vijamaa vinaruka ruka tu..
Nikaja kujua pia Ronaldo kakosa penalt.. wtf,..Ronaldo ndo anayefanya Fernandes aonekane choko uwanjani.
Note:nina shots kadhaa kichwani.



Bobobobobongeeeeeeeee la kosiiiiiiiiii kudadadekiiiiiiiii........Kosi la dunia linacheza leo na dunia yote kuna happy ya nguvu![]()