Maishanimagumu
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 258
- 578
Nipo mkuu, wacha RR aone uozo wetu, akipanda juu atajua afanye nini.
Wachezaji hawa ambao wanasubiria mikataba iishe waondoke bure ukiwapa mitatu sahau kuwauza.Na mikataba ya kiwaki pia 5 years ya nini bhana..weka mitatu mtu akitepeta anaondoka chapu tu..
Inabidi tuanze upya..
Siku hizi hutumi msimamo Tena ..kweli umekuwa takataka 😂😂😂😂Ni mimi mkuu The best 007
Hahahaha ninyi vinabo arse8 munatofauti gani na Hawa takataka manure😀😀😂Siku hizi umekua. Unapigwa ila bado unaonekana haukimbilii jukwaa la vipodozi
Wiki ijayo unashikwa tena makalio na Tottenham Hotspur.Hahahaha ninyi vinabo arse8 munatofauti gani na Hawa takataka manure![]()
Kwani lazima kila mchezaji auzwe?..wengine waondoke tu kama free agents..wale walioperform above standard wanaongezewa mkataba kama wanataka kubaki United..simple..Wachezaji hawa ambao wanasubiria mikataba iishe waondoke bure ukiwapa mitatu sahau kuwauza.
Kwenye ratiba yetu ya January mulisema tutapoteana atimaye tumepoteza game moja tu ..subiri uyo Spurs tumywe supu.Wiki ijayo unashikwa tena makalio na Tottenham Hotspur.
Yaani mwaka huu usipopata mimba utakua ni mgumba.
Nyie ndo hata msiongee, sisi wabovu cha ajabu tunazidi kuwasogelea tu, nyie soon mnatoka top 4.Kwenye ratiba yetu ya January mulisema tutapoteana atimaye tumepoteza game moja tu ..subiri uyo Spurs tumywe supu.
Ninyi pambaneni msimu ujao mushiriki hata europa
Kuuza muhimu mkuu, hasa kwa bei za siku hizi timu zinatoa hadi 100m.Kwani lazima kila mchezaji auzwe?..wengine waondoke tu kama free agents..wale walioperform above standard wanaongezewa mkataba kama wanataka kubaki United..simple..
Tofauti yetu jana sisi hatujafungwaHahahaha ninyi vinabo arse8 munatofauti gani na Hawa takataka manure😀😀😂
We fisi maji kipara anakutesa kuleMatakataka Kila siku munaliwa tu kimasikhara..
Board wanamtaka Ole mwingine. A yes man coach.Kuna tetesi zinazoendelea kuwa board wanamtaka Pochetino achukue timu wakati mapendekezo ya RR ni Ten Hag.
Kwa mkanganyiko kama huu unajiuliza walimchukua kama mshauri wa ufundi ili iweje?
Sisi wale city tungekuwa fulu mkoko wasingechomoka. Ngoja tukutane nao UEFA tena tuwale kichwaTofauti yetu jana sisi hatujafungwa
Kupata bado mchumba tu aje kubeba UEFA kwa kutufunga sisi Chelsea.We fisi maji kipara anakutesa kule
Wataishia kubembeleza waongezewe mikataba waendelee kula hela za bure.Wachezaji hawa ambao wanasubiria mikataba iishe waondoke bure ukiwapa mitatu sahau kuwauza.
Hizi ni ndoto za mchana kabisa sisi kumaliza nje ya top four, sisi tunawaza ubingwa, ninyi munawaza top 4 ..huoni tofauti hapo? Ninyi kuingia top six tu itakuwa ni ushindi mkubwa Sana kwenu.Nyie ndo hata msiongee, sisi wabovu cha ajabu tunazidi kuwasogelea tu, nyie soon mnatoka top 4.
Nimefurahi sana ameanzia chini, anawasoma na atajua who is who.. nategemea mabadiliko makubwa sana kwa RR ngoja tuoneNipo mkuu, wacha RR aone uozo wetu, akipanda juu atajua afanye nini.