D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ralf rangnick anasema anthony martial hataki kuitumikia klabu ndio maana hamchagui kwenye kikosi chake.
Uache kutangatanga majukwaa ya watu wewe.....Hivi shida ya hii timu ni nini jamani?
Tukampigie magoti soshaHatuna timu wakuu..
Very inconsistent players..non -aggressive..
Stamina sifuri kabisa..
De Gea tu ndo anajua anafanya nini uwanjani.
Mishahara mikubwa ndo kitu tunachoweza..
Kosi la dunia... Nasikia mmempiga aston villa 5 bila.Kiukweli wachezaji wana tu disappoint sn.
Kwani na ARV umesha tumia?Kuna mtu anaweza kuniambia kwa nini Rashford hayupo leo hata kwenye sub? Juzi alitusaidia sana alikuwa anakimbia sana akawazuia wasitushambulie sana.
Leo ni kichekesho Bruno kawekewa watoto wawili mmoja kulia na mmoja kushoto. Greenwood anadhani akipata mpira ni kupiga tu kwa kipa (bado hajakomaa) huyu Elanga ni mchanga sana sanaaa kuanza kwenye mechi kubwa yenye preasure kama hii. Ngoja niagize Castle light hii mechi sio ya kuangalia ukiwa na akili timamu.



Ngoja wanao zidi kumtetea kocha na kutupilia lawama Kwa wachezaji kwamba wote wauzwe kocha achukue wachezaji anao wahitaji.Hawajiulizi Mourinho aliwezaje kuchukua Europa league maana kikosi ni kilekile hata kama ni mabadiliko ni machache Sana.Fans wa United wanahisi Pochettino ni dawa yao katika kurudisha makali kumuacha Ralf na kua na Poch ni umefuta Bakari na kuandika Beka. Poch atakua kama Mou nenda rudi yake ndani ya EPL at the time mnazidi kushuka.
Kuna mkuu hapo (daemushin) anasema recruitment ya wachezaji ilikua hafifu lakini kikosi cha united pound for pound ni level moja na City, Chelsea na Liva its the reason hata mkisuluhu inakua ni habari. Notice kwamba msimu unaanza mlijitambulisha kama title contender na hata squad ilisapoti huu utambulisho.
Kikosi on paper ni kizuri. Kwanini hakideliver? Shida ni kocha anashindwa exploit the best outta the squad. Bruno anafika Wolves ipo hoi within few games kashajua strength ya timu na Wolves inaenda vizuri, Conte kafika Spurs kajitahidi kuitransform kiuchezaji ni vile spurs finds a way to be spurs.
Now una Ralf a coach ambaye kwenye rekodi za trophy siyo mzuri ila ana theories nyingi juu ya formation and what not, hapo umetoka kwa Ole mwenye rekodi ya kushusha timu daraja. Mkuu fuentte anaamini Ralf akiwa kocha mwenye maamuzi 100% itasaidia. Mou amechukua Europa na hichi kikosi huku hana maamuzi 100% so utatoka kwa Ralf unaenda kumuamini Pochettino?
Nafikiri ni vile mtu ukiwa unazama unashikilia chochote.
Man U ni kigenge cha Wahuni tu,huo ndio ukweli,povu ruksa![]()
na magwaya angecheza hiyo mechi,lawama zingekuwa Kwa magwaya kwamba kwanini kashindwa kuzuia magolii wakati yeye ni beki wa MWISHO.Mashabiki wa man u bwana
.
.Na kufika fainali yuropa Ligi kipindi Cha Sosha.Ralf awe mshauri kabisa maana anaongea vitu vizuri munoo afu asajiriwe kocha ambaye atageuza ushauri wa Ralf kuwa kwenye action.sehemu sahihi ya ralf ni ushauri, tumekuwa na rekodi mbovu sana ya kufanya maamuzi ya ovyo hivyo tunamuhitaji zaidi kwa kazi hiyo. murtough na fletcher kuwategemea peke yao ni kujidanganya.
Hilo siyo kweliHii timu imepoteza watu wenye macho ya kuona vipaji vinavyochipukia matokeo yake wanakimbilia proven players ambao kimsingi kuja kwao united ni kutunisha mifuko yao tu.
Ni kama vile hii kazi ya scouting inafanywa na ndugu hivyo hawataki kuumiza vichwa zaidi ya kumtaja mchezaji ambaye hata mimi namuona.
United tumecheza kona 100 mpaka mechi ya jana lakini hawajafunga goli hata moja kupitia kona hizo licha ya uwepo wa wachezaji zaidi ya sita wenye historia ya kufunga magoli mengi kwenye mipira ya kona.Naomba kujulishwa kama yule mtaalamu aliyeletwa kwa sababu ya kufundisha mipira iliyokufa kama bado anafanya kazi united au aliondoka pamoja na Ole?
Man United inahitaji a pragmatic coach na siyo football philosopher.Fans wa United wanahisi Pochettino ni dawa yao katika kurudisha makali kumuacha Ralf na kua na Poch ni umefuta Bakari na kuandika Beka. Poch atakua kama Mou nenda rudi yake ndani ya EPL at the time mnazidi kushuka.
Kuna mkuu hapo (daemushin) anasema recruitment ya wachezaji ilikua hafifu lakini kikosi cha united pound for pound ni level moja na City, Chelsea na Liva its the reason hata mkisuluhu inakua ni habari. Notice kwamba msimu unaanza mlijitambulisha kama title contender na hata squad ilisapoti huu utambulisho.
Kikosi on paper ni kizuri. Kwanini hakideliver? Shida ni kocha anashindwa exploit the best outta the squad. Bruno anafika Wolves ipo hoi within few games kashajua strength ya timu na Wolves inaenda vizuri, Conte kafika Spurs kajitahidi kuitransform kiuchezaji ni vile spurs finds a way to be spurs.
Now una Ralf a coach ambaye kwenye rekodi za trophy siyo mzuri ila ana theories nyingi juu ya formation and what not, hapo umetoka kwa Ole mwenye rekodi ya kushusha timu daraja. Mkuu fuentte anaamini Ralf akiwa kocha mwenye maamuzi 100% itasaidia. Mou amechukua Europa na hichi kikosi huku hana maamuzi 100% so utatoka kwa Ralf unaenda kumuamini Pochettino?
Nafikiri ni vile mtu ukiwa unazama unashikilia chochote.
Vitu watu wa Manchester United wanaeza enjoy tu ni memoriesenzi za furge ,wanaishi na past events kwenye karne hii ya 21
...
Huko insta admin wao anashinda anatafuta clip za legends za mwaka 90 walivokuwa wanafunga ndio anapost
Kutwa humu kutype go go man united kumbe timu yenyewe inarud reverse....





nyie
ni kwa sababu haamini kwenye unafiki na uchawa, ukifuatilia interview zake amejitanabahisha kuwa ni mtu asiyependa kujibu maswali kwa kujizungusha kama kocha aliyepita. tabia yake ina faida na hasara zake. mfano leo aulizwe swali juu ya utendaji kazi wa familia ya glazer ukilinganisha na familia sheikh mansour bila ya shaka atawaponda familia ya glazer haliyakuwa ndio waliomuajiri. kwa misimamo yake sidhani kama ataweza kumaliza miaka miwili ya ushauri ikiwa hatosikilizwa. ralf na bielsa ni ndugu wawili wasiojuanaKitu cha kwanza anachotakiwa kufanya kocha ni kuipandisha morali ya timu watu wacheze huku wana hamu na ushindi.
Ole alishindwa hilo.
Ralf pia anashindwa hilo. Wiki nyuma zilikuja ripoti za wachezaji kujigawa leo tunaona Ralf kaanzisha bifu na Martial na hana miezi minne klabuni.
Huyu Ralf ataua timu uwanjani na kichwani. fuentte huyu ni kocha wa kugewa maamuzi 100%?
Mou akikuletea misimamo yake unamvumilia kwa kuangalia rekodi yake. Kwa Ralf unaangalia nini kitakachofanya umvumilie?ni kwa sababu haamini kwenye unafiki na uchawa, ukifuatilia interview zake amejitanabahisha kuwa ni mtu asiyependa kujibu maswali kwa kujizungusha kama kocha aliyepita. tabia yake ina faida na hasara zake. mfano leo aulizwe swali juu ya utendaji kazi wa familia ya glazer ukilinganisha na familia sheikh mansour bila ya shaka atawaponda familia ya glazer haliyakuwa ndio waliomuajiri. kwa misimamo yake sidhani kama ataweza kumaliza miaka miwili ya ushauri ikiwa hatosikilizwa. ralf na bielsa ni ndugu wawili wasiojuana