Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku hizi umekua. Unapigwa ila bado unaonekana haukimbilii jukwaa la vipodozi
Mwanzo alikua kigoli akishatiwa goli alikua na zile aibu aibu za kisichana ila sasa hivi ameanza kuzoea, muda sio mrefu atakua konki kama Amber Rutty tegemea kuanza kuona video zake ameshika chupa za soda.
 
Kitu cha kwanza anachotakiwa kufanya kocha ni kuipandisha morali ya timu watu wacheze huku wana hamu na ushindi.

Ole alishindwa hilo.

Ralf pia anashindwa hilo. Wiki nyuma zilikuja ripoti za wachezaji kujigawa leo tunaona Ralf kaanzisha bifu na Martial na hana miezi minne klabuni.

Huyu Ralf ataua timu uwanjani na kichwani. fuentte huyu ni kocha wa kugewa maamuzi 100%?
Castr binafsi niliwahi kutoa hoja humu kuwa sajili nyingi za united ukiziangalia kwa jicho la ndani zinalenga kufanya biashara zaidi kuliko mafanikio ndani ya uwanja. Na uongozi kwa kulitambua hilo wakawa wanaweka malengo ya kucheza champions league badala ya kubeba makombe msimu baada ya msimu. Hii imesababisha wachezaji kuona ni wa thamani sana kibiashara kuliko wanachokitoa uwanjani.

Wachezaji waingereza; Huu mjadala pia umewahi kujadiliwa sana hapa na majukwaa la liverpool na arsenal. Kuna upendeleo mkubwa sana wanafanyiwa hao watoto wa malkia kuanzia gharama za usajili,mishahara yao na nafasi kwenye kikosi cha kwanza kwenye timu. Wakishuka viwango hawaguswi,na pundits wao wanakuwa mstari wa mbele kuwatetea kwa hoja dhaifu sana.
Moyes alishindwa kuwafanya wajitoe kiuchezaji,Ole pia aliwaogopa wachezaji wa aina hii. Van gaal na Mou walikuwa wametambua tatizo la msingi la timu ni attitude ndio maana wakaondolewa kwa zengwe ili hawa wachezaji wapumue. Kinyume na wengine,Ralf anaonyesha ana guts za kulisemea,kukemea na kuwatoa kafara wachezaji wa aina hii ili waliobaki wajue thamani ya timu.
Fikiria kwa nini dakika za mwanzo tunacheza mpira mzuri kwa kufuata maelekezo ya mwalimu lakini baada ya daki 30 tunakuwa vimeo kama vile ni timu mbili tofauti?
 
hemu ielezee kwa undani hii sentensi yako ya mwisho? why?
 
denis zakaria ni pogba aliyechangamka, upande wa pili flamengo wametumia ofa ya euro millio 10 kwa ajili ya perreira ila klabu haijatoa uamuzi. hiyo pesa inatosha kumsajili denis zakaria
Man u ni wazito sana kwenye maamuzi chief, mchezaji kama Perreira mpaka leo yupo tu
 
Ralf will turn things around.
Kitu cha msingi ni kumpa mamlaka kamili juu ya sajili za wachezaji pale united kama alivyofanya Pep pindi anakuja city.
Mimi sina shida na kocha kabisa, hii team mambo yaanzie juu kwenye recruitment huko na watu wa maana wanaojua soka.. Lingard, Mata, Perreira, Wan Bissaka n.k waanze kutafutiwa wabadala mapema huku tukiwaweka sokoni, average players wanalipwa pesa kubwa work rate 0 yaani tabu tupu
 
hemu ielezee kwa undani hii sentensi yako ya mwisho? why?
Mkuu hii imekaa kiufundi zaidi ndio maana nami nikaweka alama ya kuuliza ili wajuvi watusaidie.
Si mara ya kwanza kucheza vizuri daki 20-30 za mwanzo halafu tunaanza kupoteana hadi mwisho wa mchezo.
 
Ralf kaconfirm Martial jana kagoma kucheza, dirisha la usajiri hili bado wanakomaa nae, wakubali tu hio hasara piga bei Man U kubwa mauzo tu ya jersey kwa mwaka unasajili wachezaji wa maana, board inapwaya sana kule
 
Kuna mtu anaweza kuniambia kwa nini Rashford hayupo leo hata kwenye sub? Juzi alitusaidia sana alikuwa anakimbia sana akawazuia wasitushambulie sana.
Leo ni kichekesho Bruno kawekewa watoto wawili mmoja kulia na mmoja kushoto. Greenwood anadhani akipata mpira ni kupiga tu kwa kipa (bado hajakomaa) huyu Elanga ni mchanga sana sanaaa kuanza kwenye mechi kubwa yenye preasure kama hii. Ngoja niagize Castle light hii mechi sio ya kuangalia ukiwa na akili timamu.
Magoli yanafungwa halafu yanarudishwa zote, alaumiwe Bruno tena? au Elanga. What do you wants anyway?
 
mpaka kesho nitamlaumu ole kwa uamuzi wake wa kumbakisha lingard asiyekuwa na matumizi naye. tumekosa hela kipumbavu, release clause ya perreira ni euro million 15 au zaidi si ajabu klabu imechelewa kufanya maamuzi labda ni kwa sababu ya udogo wa ofa yao
Wakubali tu hizi hasara, sasa Perreira team gani ya maana na corona hii ipoteze pesa ulipa £15 kwake?
 
Toka Ronaldo aje, jana Bruno kafunga Gori mbili. akiendelea kuwekwa benchi namna hii alot of the boys will rediscover their forms
Bruno na Ronaldo wasicheze pamoja, akianza Bruno, Ronaldo apumzishwe, akianza Ronaldo, Bruno akae benchi
 
na ndio tuliowajaza. muda huu chini ya ole tungelikuwa tunamgombania trippier na declan rice. chini ya ralf tunamlenga tchouameni, neves na zakaria kwa dau lisilovuka paundi million 90 kama utawataka wote. kumbuka hiyo hela tulilipa kwa maguire pekee
Sijui why nina imani sana na RR, sio makosa yake kabisa imagine mpaka leo Matic bado anategemewa na ukiangalia nyuma huoni wa maana kuna hao kina Freddy na McTominay, jana namwangalia Trippier Newcastle nikajiwazia ndio huyu alitaka aletwe kumback up Wan Bissaka nikasikitika sana
 
Ralf kaconfirm Martial jana kagoma kucheza, dirisha la usajiri hili bado wanakomaa nae, wakubali tu hio hasara piga bei Man U kubwa mauzo tu ya jersey kwa mwaka unasajili wachezaji wa maana, board inapwaya sana kule
Martial ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa hapo kwenu na hatuoni anachoifanyia timu, weka benchi hadi aondoke mwenyewe
 
Back
Top Bottom