Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi shida ya hii timu ni nini jamani?
Shida kubwa ni wachezaji kudekezwa, kocha anatakiwa awe mkali kama kipara, ukizingua haangalii wewe ni nani utasugua benchi mpk akili ikae sawa.
Shida ya pili kukumbatia michezaji ya kiingereza ambayo inakuzwa sana kwenye media ila kiuhalisia hamna kitu.
Shida ya tatu michezaji inapewa mishahara mikubwa kuliko uwezo wao uwanjani, matokeo yake pesa wanaoipata inawapa kiburi na kuwavimbisha kichwa, muda mwingi inawaza starehe hatimae inakua ni mivivu kupindukia.
 
Hivi shida ya hii timu ni nini jamani?
Mbona mnaongoza ligi
20220115_181042.jpg
 
Back
Top Bottom