Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu lina waingereza 6 kwenye 1st eleven unategemea nini!?
Mwendazake sajili zake ni waingereza tu pumbavu yule
Halaf anatokea mtu anamlaumu kocha aliekaa na timu mwezi mmoja wakat kuna kenge aliharibu timu kwa miaka mi3
Mkumbuke hata klop alipoichukua Livakuku ya akina Lalana haikua inacheza hv tunavyoona leo
Kocha yoyote anapoingia kwenye timu anahitaji muda kusajili wachezaj wataoendana na mfumo wake, ndo maana tunamlaumu Ole kwasabab alipewa vyote muda na fedha lakin ndo kwanza timu imerudi nyuma badala ya kuimprove.
Kocha Hana ujanja,UWEZO wake umeishia hapoo.Uwezo alio nao ni kuongea TU mambo mazuri ambayo kiuhalusia hayaonekani.

Izii Kelele za kutokusajiri wachezaji wa mfumo wake mbona hatuyasikii Kwa Conte Au Gerald?? Kina Ancelloti.Kocha wa dortmond wa Sasa??? Hata kocha wa Bayern wa Sasa Julian asilimia kubwa kakuta kikosi kike kile,mbona Anafanya makubwaa??

Tuseme tuu uwezo wa RR ni mdogo,ndo umeishia hapoo hayo mengine ni kutafuta excuse tuu

Na kama aliona wachezaji WALIOpo kwenye timu hawaendani na mfumo wake,Angeacha kuchukua timu na kusubiria mpaka msimu uishe na kusajiri wachezaji anao wataka.
 
Hii team sio ya kushabikia sasa hivi.
Ole alikua manager mzuri na tactics nzuri tatizo ni muundo wa club nzima.
Usajili wa wachezaji unaangalia mauzo ya jezi na ticket. Ndomana majina ya wachezaji wanaokua scouted hua yanavujishwa hata miezi 6 kabla ya deals kukamilika.
Pressure inakua kubwa kwa wachezaji kuperform, akicheza game moja vibaya ndo basi tena.
Ndomana Ole alikua analinda wachezaji, they were set to fail in an environment which was supposed to make them thrive.
Having said this, nimeacha kufuatilia united baada ya Ole kuachishwa kazi.
Hakuna ambalo bodi ya united na management nzima inaweza kufanya sasa hivi kuwa washindani wa Man City.
Kuendelea kushabikia united sasa hivi ni kujitafutia uwendawazimu.
Ole was a good manager, kama unabisha kumbuka ilivokua raha kwenda kuangalia game misimu miwili iliopita, je raha hiyo ulikua nayo kipindi cha Jose au unayo leo?
Niendelee kufanya mishe zangu, labda ntaanza kuifatilia tena united baada ya miaka mitano au 10.
Wasalaaam.
Umeongea ukweli mtupu mkuu. Ushahidi wa hilo ni usajili wa Ronaldo.

Bodi iliangalia kuuza jezi na kumzuia Ronaldo asiende city.
 
sad story
IMG-20220104-WA0018.jpg
 
Timu lina waingereza 6 kwenye 1st eleven unategemea nini!?
Mwendazake sajili zake ni waingereza tu pumbavu yule
Halaf anatokea mtu anamlaumu kocha aliekaa na timu mwezi mmoja wakat kuna kenge aliharibu timu kwa miaka mi3
Mkumbuke hata klop alipoichukua Livakuku ya akina Lalana haikua inacheza hv tunavyoona leo
Kocha yoyote anapoingia kwenye timu anahitaji muda kusajili wachezaj wataoendana na mfumo wake, ndo maana tunamlaumu Ole kwasabab alipewa vyote muda na fedha lakin ndo kwanza timu imerudi nyuma badala ya kuimprove.
Vip TT? ALISAJIRI KWANI?
 
Vip TT? ALISAJIRI KWANI?
Wakat mwingine unaweza ukabahatika kurithi kikosi kizuri
Sasa ndg yangu hawa akina Fred, Mc Tominay, Matic utafananisha na mashine zile Kante, Joginho na Covacic? Au zile full backs Azpilicueta na Alonso utafananisha na ule uchafu wa Bissaka?
Kuna mtu hapo kataja Bayern na Madrid kwamba makocha wao hawajasajili, huwezi kufananisha struggling team kama utd na hizo timu ambazo zilikua nzuri kabla hata hao makocha wapya hawajaenda hapo.
 
Japo Ralf anasifika kwa ukali ila sijaona hata akikaripa,

Umri mkubwa 63+ tukimpa miaka 3 ya kuturudisha anakuwa na 66 tunaanza fanya vizuri yupo 67+.... hatutafaidi sana

Kwa makocha ambao wanaweza kututoa hapa.

Luis enrique (baada ya world cup)
Ten hag
Ruben Amorīm
Pochettino

Hapo juu hao jamaa wazuri katika squad rebuilding

Enrique pale spain na barca pia
Ten hag kule Ajax
Ruben Amorim pale sportin cp
Poch pale southampton na spurs

Tuangalie na long term maana kocha akianza pata mafanikio anakuwa 70 health issues zikiibuka anatuacha na dillema

Tuchague mmoja hapo juu, asaidiane na Ralf [ralf awe consultant] tutafanya vizuri sana, damu changa ndio zinasumbua game sahizi kina mourinho, wanahangaika, Ancelloti alikuwa wa kawaida pale everton...

Kinachotakiwa ni kocha asie na umri mkuubwa mwenye uthubutu ambae atakaa na project yake hata 10years akiendelea kuiva...


Changamoto ya hao jamaa hapo juu except Luis enrique ni je wanaweza kufanya maajabu wakija kwetu?
 
Big names disconnected by very poor midfield
The team is very passive, slow and no agressivenes whatsoever the team is dull

Mkiendelea hivi hata uropa sahau
 
Back
Top Bottom