Manchester United (Red Devils) | Special Thread

RR out...

We jamaa unatusumbuaga sana jukwaa unatusumbuaga sana jukwaa la blues.

Uombe msamaha mapemaaa kabla sijakiwasha humu ndani wote mkimbie.
 
Haiwezekani kila kocha awe mbaya hapana. Wachezaji hata wanavyocheza yani hawana passion kabisa wengi wao hawawezi kukaba vizuri kuweka miguu yani kudadeki sijui tu ila nimechoka nao kabisa.
tutimue kocha

Rrout
 
Hapana mkuu, Combination ya Fred & Tominay ilikuwa ime-fit sana. Huyu mjinga anamuweka Fred nje kwa ubaguzi wake wa rangi tu.
Ameanza kuwa mjinga eh?

Mtaongea yote kunguni nyinyi
 
Ndio wachezaji wana shida lkn kocha nae uwezo wake siyo mkubwa kama tulivojiaminisha.
Ana maneno mengi kuliko vitendo.
Kaangalie wanavocheza Tottenham sa ivi, ndo utajua ubora wa kocha wao
You had a chance ya kumsaini huyo kocha wa Totte.

Mkaamua kujifanya hamumuoni.... haya pambaneni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…