Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilikuonya asubuhi mkuu kutokuangalia mechi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema hamna timu ya kuifunga wolves,,salama yenu ilikuwa mlinde goli hadi mdraw...
Wolves wakishatikisa nyavu,kugusa nyavu zao sahau kabisa.
Jamaa wana ukuta pale nyuma.

Kosi la Dunia limefungwa
 
Wanakwambia huyu kocha alimtoa tumchel bar akamfundisha mpira na alimuokota klopu kwenye vilabu vya pombe akamfundisha gen gen pressing
Kwa tunaojua mpira hatulaumu kocha
Hii timu imefanya sajili mbovu katika kipindi cha miaka mi3 ya Ole

Hatuna wachezaji wa kushindana kwenye level ya juu ndo maana hata baadhi ya makocha wanakataa kuifundisha hii timu.
 
kama kawaida, kosi la dunia dimbani na legend wetu mwenye ligi kuu yake begani phil jones mzee wa backhead deffence the balon dor contender, na formation ni 4, 2, 2 ,2. kitaumana
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]nacheka kama mazuri
 
Kosi la Dunia limefungwa
Kosi la dunia limekua ni mkosi wa dunia.
Nyumbu ni nyumbu tu.
Hamna timu hapo yaani bora hata majimaji ya Songea wanacheza mpira unaoeleweka.
Yaani mbwa hawa leo bora hata wangepigwa zile goli 5 za Liverpool
 
from my observation, the number of players that are supposed to be offloaded is big, vyombo vya habari uingereza vinatuponza, eti the squad of many talented players kweli? I declare this team to have a lot of trash, tusipokuwa makini tutafukuza makocha wengi bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…