Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mlete
kama ajaona yaliyomkuta sanchoka na mwemzake ndo atakuja ii tim mbovu ya kuua vipaji

Brendan Rogers ni substandard manager..hawezi kufanya lolote pale OT.Wale wahuni wanaompigia kampeni brendan rodgers kuwa kocha wa manchester united bado wamebaki na msimamo huo?
Paul na Matic watabaki✓Anthony Martial
✓Paul Pogba
✓Matic
✓Mata
✓Cavani
✓Jones
✓Lingard
Hawa wote by the end of next summer window inabidi wawe wameondoka jumla kwenye timu yetu.
Cavan lazima abaki.✓Anthony Martial
✓Paul Pogba
✓Matic
✓Mata
✓Cavani
✓Jones
✓Lingard
Hawa wote by the end of next summer window inabidi wawe wameondoka jumla kwenye timu yetu.
Man United wanatakiwa wamsajili Robin Gossen ili tuondoe huu ujinga wa Wan Bissaka na ugoigoi wa Diogo Dalot.ralf rangnick aliwahi kusema "ni kheri usisajili mchezaji kuliko kusajili mchezaji ambaye haendani na mahitaji yako",
- jesse lingard
- edinson cavani
- phil jones
- juan mata
- nemanja matic
- anthony martial
- dean henderson
- paul pogba
hivyo ni matumaini yangu madirisha ya usajili yanayofuata tutakuwa wakatili kwa kufanya uamuzi wa kuwaweka sokoni. Endapo klabu itafikiria uamuzi wa kuwaondoa wachezaji tajwa hapo juu itakuwa imeokoa takribani paundi millioni 1 zinazotolewa kila wiki kulipia mishahara ya wachezaji tajwa hapo juu.
cha kushangaza na kustaajabisha kati yao hakuna hata mmoja anayecheza kikosi cha kwanza.
Jina la kwanza awe Patrick SchikCha muhimu kwenye summer transfer window watafute long term striker. Haaland awe juu kabisa kwenye list ndiyo yafuate majina mengine.
Abaki kufanya nini?..Cavan lazima abaki.
Proof me wrong
Kula sikukuuAbaki kufanya nini?..
Nakubaliana na wewe Jombaa kwa 100%.✓Anthony Martial
✓Paul Pogba
✓Matic
✓Mata
✓Cavani
✓Jones
✓Lingard
Hawa wote by the end of next summer window inabidi wawe wameondoka jumla kwenye timu yetu.
Kumpa kazi huyu au Mauricio Pochettino MU ni sawa na kumpa kazi devera wa bajaji kuendesha bus la abiria wa mikoani.Wale wahuni wanaompigia kampeni brendan rodgers kuwa kocha wa manchester united bado wamebaki na msimamo huo?
Inasemekana moja ya masharti ya Ralf ilikuwa lazima aje afanye kazi na timu yake. Michael Carrick alijiwahi mapema. Kieran Mckenna kazi ya Ipswich imekuja muda sahihi kwake.bwana phelan inavyosemekana hashughuliki na chochote kwenye viwanja vya mazoezi, amekuwa mfano wa waziri asiyekuwa na wizara maalumu
Kinachonishangaza, kwa mfano huyu sharp, tunapewa taarifa za kujiunga kwake lakini hatuelezwi nani anaondoka, which means waliokuwapo hawakuhitaji services za hao professionals.
Tafsiri nyepesi hapa inaonekana Ralf alipofanya uchambuzi kabla ya kukubali kazi aliamini kama tulivyokuwa tunaamini mashabiki wengi. Hii ilikuwa comment yangu mwaka jana (2020) sept, 25.Inasemekana moja ya masharti ya Ralf ilikuwa lazima aje afanye kazi na timu yake. Michael Carrick alijiwahi mapema. Kieran Mckenna kazi ya Ipswich imekuja muda sahihi kwake.
Nina mashaka sana na uwezo wa kiakili wa benchi letu la ufundi hapa Ed (japo nae ni wale wale same WhatsApp group) anapaswa hata aongeze nguvu tutafute hata kocha msaidizi mpya Mike Phelan hafai hata kipindi cha Fergie baada ya kuondoka Carlos Queiroz tulianza kupwaya hana mipango, first team coaches we all know wote ni average tu Michael Carrick & Kieran McKenna.