The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
We ni kenge sana, ww unavyo tukana huwa ni sawa sio? Pumbavu kabisa




We ni kenge sana, ww unavyo tukana huwa ni sawa sio? Pumbavu kabisa




Si anaona timu iko vzr now hawezi post vilee, kenge sn huyo jamaaMkuu siku hizi huleti picha za Nyumbu......
Naikubali ile "pogba akijiandaa kupiga penalty "huwa nacheka sana.








Ujinga sn sn toka nchi za magharibi.Wapo very selfish ktk maisha.Sijui wamelitengeneza liugonjwa kwaajili ya agenda gani hasa?Corona virus again..
Ungese mtupu..
Ile picha ya Maguire unayo mkuu Mimi hua inanifurahisha sana yule beki wetuChanjo ni biashara za watu, akili mtu wangu
Mie huwa ananifurahisha na picha zakeSi anaona timu iko vzr now hawezi post vilee, kenge sn huyo jamaa![]()


Naunga mkono hojaWasimamishe tu ligi japo sijui ratiba za vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Ulaya zitakaaje pamoja na wachezaji watakaohitajika AFCON maana kama wakiruhusiwa kushiriki na EPL ikisimamishwa itazidi kuwa hali mbaya zaidi wakirudi itawabidi kufanya self isolation na wiki kadhaa UCL, UEL na Conf. League zitakuwa zikirejea na wiki kadhaa tena mbele kutakuwa na WC Qualifiers Playoffs.
Kama msimu utaendelea hali itakuwa mbaya sana kwetu maana inaonyesha walioathirika kikosini kwa Covid ni wengi, inasemekana kwa United waliokuwa fit kucheza weekend kwenye kikosi cha kwanza ni 7 tu. Ligi ikiendelea itatugharimu sana maana muda watakaoutumia wachezaji walioathirika hadi kupona jumlisha na muda wa kufanya mazoezi ili ku-gain match fitness watatumia muda mrefu sana. Pamoja na shughuli zote kufungwa Carrington kwa sasa maana yake wachezaji waliokuwa majeruhi bado hawajapata sessions za kutosha kurudi kikosini bado hapohapo tuna kocha mpya ambaye ndiyo alikuwa anaanza kupata full sessions, ku-implement tactics zake na kuchagua 1st eleven yake.
Ambangile na yeye mihemko ilimzidi ,alishindwa kuangalia mbali kabisa ....!timu itakayomaliza juu ya chelsea ndiye bingwa, hayo ni maneno ya george ambangile.
ngoja tuone, si ajabu kati ya arsenal au man utd anaweza kuwa juu ya chelsea kama wataendelea hivi sasa sijui na wao watakuwa ni mabingwa.
muda huu chelsea na wao wanaomba ligi isimame kwa kisingizio cha CORONA, wana uhakika gani wa kupata ushindi kwa wolves yenye safu ngumu ya ulinzi huku wao performance yao ikiwa ni dhalili.



subili kesho nimfuate dm nimkumbushe hayo maneno kudadekiii ....







Alafu wanaleta chanjo, sasa chanjo za nini sasa kama watu bdo wanaugua?Ujinga sn sn toka nchi za magharibi.Wapo very selfish ktk maisha.Sijui wamelitengeneza liugonjwa kwaajili ya agenda gani hasa?
Bora Mungu ateketeze hiki kizazi.
Ambangile amechemka big time..chelsea hawatomaliza big two..timu itakayomaliza juu ya chelsea ndiye bingwa, hayo ni maneno ya george ambangile.
ngoja tuone, si ajabu kati ya arsenal au man utd anaweza kuwa juu ya chelsea kama wataendelea hivi sasa sijui na wao watakuwa ni mabingwa.
muda huu chelsea na wao wanaomba ligi isimame kwa kisingizio cha CORONA, wana uhakika gani wa kupata ushindi kwa wolves yenye safu ngumu ya ulinzi huku wao performance yao ikiwa ni dhalili.
Timu yetu ni dhaifu kwenye maeneo mengi kuliko Atletico.Nimeangalia game ya Atletico ve liver home and away na vs mad4id ya juzi......atletico ushambuliaji sio hatari kiasi hicho
PSG ni timu ambayo hata first leg wakikufunga nne unaweza ukazirudisha second leg.Mkuu Atlético wa sasa sio wale wa enzi za Falcão, hawa wasasa ni vibonde South africa.
PSG wanawatu ambao wakiamua kudai chenji yao lazima uwape, lakini Atlético hawana watu hao.
Hata round ya kwanza bado bwana pep, usitambe sanaAmbangile na yeye mihemko ilimzidi ,alishindwa kuangalia mbali kabisa ....!
Aliona ile bus parking ya Chelsea dhid ya timu kubwa kuwa ndio inaweza kuwapa ubingwa ...!
Yale maneno siku hizi hatamki Tenasubili kesho nimfuate dm nimkumbushe hayo maneno kudadekiii ....
Mchambuzi mzuri lakin anajuta kutamka maneno magumu Kama hayo mbele ya umati ,ona Sasa Leo anadhalilika hadharani,![]()
Henderson asiuzwe, apelekwe Ajax on loan. Hao wanaobaki wote wauzwe tu huyo Pogba naye wasimuongeze mkataba. Lingard timu kibao zinamuhitaji ila wanamng'ang'ania tu kwasababu ni zao la academy na hiyo ni moja ya shida ya United, wanaita DNA: kwamba kwenye bench lazima kuwe na academy graduates. Cavani mchezaji mzuri ila majeruhi yamemuandama, Mata, Matic wauzwe. Hao wawili wanaobaki Jones na Martial wafukuzwe, ni jambo zuri Martial kaomba afunguliwe mlango wa kutokea.ralf rangnick aliwahi kusema "ni kheri usisajili mchezaji kuliko kusajili mchezaji ambaye haendani na mahitaji yako",
- jesse lingard
- edinson cavani
- phil jones
- juan mata
- nemanja matic
- anthony martial
- dean henderson
- paul pogba
hivyo ni matumaini yangu madirisha ya usajili yanayofuata tutakuwa wakatili kwa kufanya uamuzi wa kuwaweka sokoni. Endapo klabu itafikiria uamuzi wa kuwaondoa wachezaji tajwa hapo juu itakuwa imeokoa takribani paundi millioni 1 zinazotolewa kila wiki kulipia mishahara ya wachezaji tajwa hapo juu.
cha kushangaza na kustaajabisha kati yao hakuna hata mmoja anayecheza kikosi cha kwanza.
Cavan anabaki mzee, RR anamhitaji sanaHenderson asiuzwe, apelekwe Ajax on loan. Hao wanaobaki wote wauzwe tu huyo Pogba naye wasimuongeze mkataba. Lingard timu kibao zinamuhitaji ila wanamng'ang'ania tu kwasababu ni zao la academy na hiyo ni moja ya shida ya United, wanaita DNA: kwamba kwenye bench lazima kuwe na academy graduates. Cavani mchezaji mzuri ila majeruhi yamemuandama, Mata, Matic wauzwe. Hao wawili wanaobaki Jones na Martial wafukuzwe, ni jambo zuri Martial kaomba afunguliwe mlango wa kutokea.
Pongezi kwa Solskjaer project yake ya kuondoa wachezaji hewa ilibaki kidogo tu kumalizikia.