Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Hata round ya kwanza bado bwana pep, usitambe sana
Round ya kwanza kuisha zimebaki mechi 2 tu.
Hata round ya kwanza bado bwana pep, usitambe sana
Cha muhimu kwenye summer transfer window watafute long term striker. Haaland awe juu kabisa kwenye list ndiyo yafuate majina mengine.Cavan anabaki mzee, RR anamhitaji sana
Uchambuzi ni kama kupiga ramli tu.timu itakayomaliza juu ya chelsea ndiye bingwa, hayo ni maneno ya george ambangile.
ngoja tuone, si ajabu kati ya arsenal au man utd anaweza kuwa juu ya chelsea kama wataendelea hivi sasa sijui na wao watakuwa ni mabingwa.
muda huu chelsea na wao wanaomba ligi isimame kwa kisingizio cha CORONA, wana uhakika gani wa kupata ushindi kwa wolves yenye safu ngumu ya ulinzi huku wao performance yao ikiwa ni dhalili.
Mkuu umeongea kikatili sana dhidi ya hawa jamaa.Hao wawili wanaobaki Jones na Martial wafukuzwe
Sasa maana ya bado ni nini?Round ya kwanza kuisha zimebaki mechi 2 tu.
i would love to see this boy playing in the first eleven of any team in europe, i believe he is far better than rashford and martial if given ample time to prove so
Hahaha! Wote ni wachezaji wazuri ila mchezaji kama Jones muda wake wa kucheza kwenye ligi ya ushindani ya Premier League umeshaisha. Martial naye ana kipaji ila hajafikia Potential Ability yake halafu sasa hivi anatoka anasema anataka kuondoka United kwasababu hapati namba kikosi cha kwanza, unaweza kujiuliza Martial muda wote aliopewa kipindi cha Solskjaer kile alicho-deliver ndiyo anaona kabisa ni level ya timu kama United!?Mkuu umeongea kikatili sana dhidi ya hawa jamaa.
Acheni uhuni kwanini united tu ndio covid itawaleLiverpool acheni malalamiko kovid ni balaa la dunia. Tulizeni munkariView attachment 2047846
Kumbee ni United siyo spurs Mwenye viporoo Kwa sababu ya uviko?Acheni uhuni kwanini united tu ndio covid itawale
Spurs hii weekend anacheza bana na liverpoolKumbee ni United siyo spurs Mwenye viporoo Kwa sababu ya uviko?
Weekend iliyo pita alicheza na nani?Spurs hii weekend anacheza bana na liverpool
Tanzania wachambua Tembele ni wengi kuliko wachambua soccer.timu itakayomaliza juu ya chelsea ndiye bingwa, hayo ni maneno ya george ambangile.
ngoja tuone, si ajabu kati ya arsenal au man utd anaweza kuwa juu ya chelsea kama wataendelea hivi sasa sijui na wao watakuwa ni mabingwa.
muda huu chelsea na wao wanaomba ligi isimame kwa kisingizio cha CORONA, wana uhakika gani wa kupata ushindi kwa wolves yenye safu ngumu ya ulinzi huku wao performance yao ikiwa ni dhalili.
Mkuu hili janga kila mtu anapambana kivyake.Mie nashangaa kwanini ligi za nchi nyingine kama ujerumani na hispania bado covid kwao sio tishio?