John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Ndo roho mbaya au nnMechi za leo city lazima ashinde, lakini liverpool & tottenhum ni open game & I wish wa draw, chelsea apigwe.

Ndo roho mbaya au nnMechi za leo city lazima ashinde, lakini liverpool & tottenhum ni open game & I wish wa draw, chelsea apigwe.

Lita 30 za jasho alilo mwaga Wakati anachezaSija
Sijaelewa hiyo 30 ltrs oil?
Amesema 30ltrs of oil na si jashoLita 30 za jasho alilo mwaga Wakati anacheza
...huyu mwamba kabla ya game huwa wanampaka korie wese kwenye mikono ili imsaidie wakati wapinzani wakiwa wanamkaba wakitaka kumshika mikono iteleze coz INASEMEKANA ana bega bovu kwahyo kutokana na Kasi yake wanaweza wakamngangania akateguka bega ikamletea matatizoAcheni wogaJumatatu ni lazima tuingize timu uwanjani sio tupende tusipende??..

Na yule mwamba anasumbua aloo.Amesema 30ltrs of oil na si jasho...huyu mwamba kabla ya game huwa wanampaka korie wese kwenye mikono ili imsaidie wakati wapinzani wakiwa wanamkaba wakitaka kumshika mikono iteleze coz INASEMEKANA ana bega bovu kwahyo kutokana na Kasi yake wanaweza wakamngangania akateguka bega ikamletea matatizo
mchizi anapiga sana kazi chenga nyingi msumbufu ila sasa hanaga magoli wala assist sielewagi kwanini.Adama in the Premier League This season:
17 match
0 Goal
0 Asist
30 Liters oil![]()
21Savage kasajili lini?#mufc players pictured at Carrington today (more to potentially follow):
Rashford, Maguire, Varane, McTominay, Fred, Greenwood, Shaw, Lingard, Mata, Savage, Martial, Bailly, Wan-Bissaka, Cavani, Lindelöf, Bruno Fernandes, Amad, De Gea, Telles [men]
Ni mchezaji wa Academy kaka21Savage kasajili lini?
Ndio maana siku hizi hasikiki sana YouTube kumbe kakimbilia kwenye mpiraNi mchezaji wa Academy kaka

Tetesi tu Jombaa. Hatuna upungufu eneo la ushambuliaji (Ronaldo, Cavani, Greenwood) labda majira ya kiangazi sio kipindi hiki cha baridi. Ralf mwenyewe alikiri haihitaji mtu wa ziada idara hii.Habari ninazosoma kuhusu Erling Haaland na Julian Alvarez angalau hata moja iwe kweli.
Busy body...Adama in the Premier League This season:
17 match
0 Goal
0 Asist
30 Liters oil![]()
badohivi viporo vyetu vishapangiwa ratiba kweli.
Martial anafata nini training...#mufc players pictured at Carrington today (more to potentially follow):
Rashford, Maguire, Varane, McTominay, Fred, Greenwood, Shaw, Lingard, Mata, Savage, Martial, Bailly, Wan-Bissaka, Cavani, Lindelöf, Bruno Fernandes, Amad, De Gea, Telles [men]
Anamalizia siku zake za kuishiMartial anafata nini training...
Ralf Rangnick is pushing for Manchester United to sign Erling Haaland despite intense competition for the Borussia Dortmund striker. Rangnick retains a cordial relationship with Alf-Inge Haaland. 
