Huyu jamaa ni expert sana aiseh.....ya kwamba amehandle kila kitu kwa hao madogo na namna watakavyocheza leo....brilliantrangnick ameongoza mwenyewe mazoezi ya wachezaji vijana wanaotarajiwa kuwepo kikosini usiku wa leo.
He's not even shortlisted for the Group stagesJones haitaji game time?
Duh sio Chai hiiDogo anafunga sana huyo nasikia alivyokuwa team za watoto huko Mqn city alifunga magoli zaidi ya 600
Mzee anataka ajue yupi yupo vizuri ili baadae awe na first 11 ya kuelewekaUyu kocha sasa yani kapangaje sijui kikosi.View attachment 2037573
Asateeeee sana bwana Kibatala kwa maelezo yako[emoji23]Hamjamuelewa huyu kocha, hapo anatafuta kundi jingine la vijana wa kuaminika baada ya testing ya kwanza kwenye mechi ya Crystal Palace.
Unajua Manchester United ina madogo wengi sana wenye vipaji ila shida ya OLE nakuwaza kuwatumia plus ule uoga wake ndo akawa amekariri wachezaji walewale kitu ambacho kimetufanya hâta mashabiki tuhisi kwamba hatuna wachezaji.
We ngoja madogo watakavyo pambania namba leo, nina imani baada ya Mechi ya leo kuna baadhi ya players mtatamani walau wawepo hâta benchi kila team inapocheza.
GGMU
Tiar huko ubao ushabadirikaOna sub zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037656
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mwendazake katokea wapi uku tenaKwahiyo jamaa kama Magu kila kitu anajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Abaki huko huko na magongo yake.Dembele hatutaki anataka Arsenal kwa vile wako London View attachment 2037565
MengiOna sub zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037656
Sent using Jamii Forums mobile app
Zidane[emoji23]Ona sub zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037656
Sent using Jamii Forums mobile app