buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Nafikiri sababu ni Lewandowski kuibiwa Ballon D'or now wanamalizia hasira kwa Barca, Messi angekuapo naamini wangetoa mauji ya kimbari.Barca anapelekwa kilazima europa huko
😁😁😁😁😁
Nafikiri sababu ni Lewandowski kuibiwa Ballon D'or now wanamalizia hasira kwa Barca, Messi angekuapo naamini wangetoa mauji ya kimbari.Barca anapelekwa kilazima europa huko
😁😁😁😁😁
[emoji2][emoji23][emoji2] nini maana ya NYENZE mkuukinachonipa matumaini ni kuona angalau tunakua tishio tukiwa na mpira, sio kama enzi za sosha mpira unachezwa na bisaka gwaya na shoo ukimkuta bruno (nyenze) analipiga uko[emoji23] tunapoteza, kwa sasa timu inakaba chap baada ya kupoteza mpira kitu kinachoashiria perfomance nzuri siku za usoni
mviziaji, hovyo😂[emoji2][emoji23][emoji2] nini maana ya NYENZE mkuu
Tulia wewe, hii ndomaana ya kikosi kipana chini ya mwalimu wa mpira. Kwa kikosi hiki ulitegemea tuwe tumafunga magoli mangapi mpaka sasa?Hii ni timu au uchafu?