Kwa timu ipi ya kuleta hayo mauajiNafikiri sababu ni Lewandowski kuibiwa Ballon D'or now wanamalizia hasira kwa Barca, Messi angekuapo naamini wangetoa mauji ya kimbari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah we jamaa bwege sanaSio mbaya madogo waliwahi kukata moto first half tungemaliza game mapema tu, bissaka aloo dah sijui tu na Lingard alipoa sana leo kama anaumwaaa.
Hawajazoea mambo ya kupress hawa watu wanaambiwaga nendeni uwanjani mkaenjoy yourself [emoji38][emoji38] utafikiri uwanjani ni kidimbwi au tips mle wanaume wanafanya kazi shenzyy zake olee.
Baily [emoji119][emoji119]
Tena nyumbaniIlaaaaa Manchester United wanazinguaaa Nd wakutoa Sare na Young Boys
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barca anapelekwa kilazima europa huko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We umebet ww.Ilaaaaa Manchester United wanazinguaaa Nd wakutoa Sare na Young Boys
90% ya kikosi ilikuwa team ya vijana. + wanaongoza group. So wangepoteza au kushinda au draw ilikuwa si game ya preshaIlaaaaa Manchester United wanazinguaaa Nd wakutoa Sare na Young Boys
[emoji23] Bila shaka alimaanisha kama Messi angekuwa bado yupo Barca basi Bayern wangetoa kipigo zaidi ya hiki cha goli 3 maana ni kama wameitumia Barca kutoa hasira zao za kukosa Ballon D'Or, sasa imagine Messi angekuwa ndani lazima wangefanya humiliation.Kwa timu ipi ya kuleta hayo mauaji
Mijitu ya kubeti bana
Wala siyo story za kutunga, dogo kwenye youth level kashashindikana. Jana katupia goli kwenye UYL dk ya 80, kafunga kwenye mechi 6 mfululizo.Duh sio Chai hii
Ndio nilimaanisha mkuu zedudu acha hizo bana. Alafu sibeti.[emoji23] Bila shaka alimaanisha kama Messi angekuwa bado yupo Barca basi Bayern wangetoa kipigo zaidi ya hiki cha goli 3 maana ni kama wameitumia Barca kutoa hasira zao za kukosa Ballon D'Or, sasa imagine Messi angekuwa ndani lazima wangefanya humiliation.
The Bavarians siyo watu, nashukuru tumemaliza top kwenye group letu maana ingekuwa ni mapema sana kupewa hao watu.
Yeah.. kaikimbia France aligoma kabisa.Dogo kaikimbia France kaenda Tunisia sio??
Na amefunga goal zuri sana jana kwenye UEFA YouthDogo anafunga sana huyo nasikia alivyokuwa team za watoto huko Mqn city alifunga magoli zaidi ya 600
Tofauti na hivyo, tulikuwa tushafuzu December ina match nyingi na zimefatana ni vyema ukipata nafasi unapumzisha key players, sasa jamaa labda alikuwa anataka tuweke full kikosiMzee anataka ajue yupi yupo vizuri ili baadae awe na first 11 ya kueleweka
Yaani kwa kikosi kilichocheza jana, angekua Ole sijui tuole ametuchelewesha sana, imagine 11 changes na tumetoa sare, hii rotation angeifanya mzee wa "boys are working hard" tungepigwa
Una masikhara sana na Bayern chief.. eti kwa timu ipi [emoji3]Kwa timu ipi ya kuleta hayo mauaji
Mijitu ya kubeti bana