Kwani wewe ulidhani Man UTD inakosa wachezaji? Shida ilikiwa ni Manager ndomaana ilikuwa hâta akiletewa wachezaji anao wataka anashindwa kuwatumia.Shida haikuwa wachezaji.Hawa vijana ni hatari mno
Anazidiwa hâta na Matic anyechezeshwa beki leo, sioni kabisa akiwa chaguo la kwanza kwa huyu kocha.
Yamekua hayo
Bissaka na mwenzake Maguire tunawalalamikia kila siku humu, na sio humu tu worldwide hawalibaliki labda kama kwenye teams nyingine huko.Yamekua hayo
Hajui cha kufanya akili za soka la Ole. Goli chanzo ni yeye sio Donny.
Wapo vizuri Sana ndo Mana kila siku wanachezaBissaka na mwenzake Maguire tunawalalamikia kila siku humu, na sio humu tu worldwide hawalibaliki labda kama kwenye teams nyingine huko.
Anacheza deep sana leo labda ndio shida....ila ametuchoma hahahvdb ni miyeyusho uyo dogo, kapewa nafasi aonyeshe uwezo anacheza kutengeneza clip matokeo yake ni pass chovu chovu tu
Tunatakiwa tutafute namba 6 na namba 2 ya kusaidiana na Diogo, huyu Bissaka aende saizi zake huko west ham.Anazidiwa hâta na Matic anyechezeshwa beki leo, sioni kabisa akiwa chaguo la kwanza kwa huyu kocha.
Bora twende na Dallot.
kinachonipa matumaini ni kuona angalau tunakua tishio tukiwa na mpira, sio kama enzi za sosha mpira unachezwa na bisaka gwaya na shoo ukimkuta bruno (nyenze) analipiga uko😂 tunapoteza, kwa sasa timu inakaba chap baada ya kupoteza mpira kitu kinachoashiria perfomance nzuri siku za usoniSema kule mbele wanakosa sana nafasi....almost nafasi 3 za wazi wameshindwa
Mpaka anaondoka hajabeba kombe hata moja....mazafanta yule boya sikuwahi mkubali hata siku moja 😀😀Kwani wewe ulidhani Man UTD inakosa wachezaji? Shida ilikiwa ni Manager ndomaana ilikuwa hâta akiletewa wachezaji anao wataka anashindwa kuwatumia.Shida haikuwa wachezaji.
Amad alinunuliwa ila alikuwa kaanza kuonekana hafai tena, SANCHO akaomba weeeeh mwishowe akaletwa kilichofata unakijua, VDB akaletwa akiwa wa moto kampiga benchi la kutosha, Telles ,Dallot.
Kichekesho ni pale iliposemekana eti Ronaldo ndo chanzo cha Man UTD kufanya vibaya😂.
UPDATE
Man U- Young B (1-1)
Basi mkuu mbakize legend wetu yule hakuwa na tatizo na mtuMpaka anaondoka hajabeba kombe hata moja....mazafanta yule boya sikuwahi mkubali hata siku moja![]()




