Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Yaani kwa mara ya kwanza mwaka huu sijaona mchezaji ana FLOP.
Leo nimemuona dalot wa tofauti. He wans onUmemuona Dalot alivyokichafua?

VanGal gave us ball possession, but no serious goal attempts like today. leo kulikuwa kuna balance mbele,kati na nyuma.Well naweza sema we used to play like this but back then. Hii performance ya leo is how we should play always
VanGal gave us ball possession, but no serious goal attempts like today. leo kulikuwa kuna balance mbele,kati na nyuma.Well naweza sema we used to play like this but back then. Hii performance ya leo is how we should play always
mkuu haya maelezo yako ukiyaweka katika mathematical ratio, yanakinzana na ball possessionTukiongelea upande wa mapungufu yetu,pamoja na ku recover mipira haraka lakini pia tunawahi kuipoteza tena ndani ya muda mfupi sana kabla hatujafika golini kwa adui.
Ni muda wa kumtafuta partner wa Fred na sio vinginevyo kama legends wanavyotuaminisha.I love Fred.
Roy keane anakwambia Fred hastahili kuvaa jezi ya Man u......hahahahaha sijui atajificha wapiI love Fred.
Labda sijaeleweka;Ni kweli tumemiliki sana lakini lengo la kufika golini lilikuwa halitimii ndio maana shots on target ni 3mkuu haya maelezo yako ukiyaweka katika mathematical ratio, yanakinzana na ball possession
well, hilo sio tatizo la kupoteza mipira haraka, ni penetration failure.Labda sijaeleweka;Ni kweli tumemiliki sana lakini lengo la kufika golini lilikuwa halitimii ndio maana shots on target ni 3
hivi martial nae ni majeruhi.Ila Rashford anahitaji kubadilika chini ya Ralf maana maamuzi yake langoni mwa adui yanakatisha tamaa
huyu benchi inamuita.Ila Rashford anahitaji kubadilika chini ya Ralf maana maamuzi yake langoni mwa adui yanakatisha tamaa
Kabla hajatolewa alianza kuzurula uwanjani kama enzi zile za boys wao.huyu benchi inamuita.