Dah we need to win today come on reds
it will be a trash ni feb/mar
Umemuona Dalot alivyokichafua?
na Teles, Zaha leo kawekwa mfukoni.Umemuona Dalot alivyokichafua?
Angalau Shaw anaongeleka ila Wanbisaka itamchukua muda sana kurudi kwenye kikosi cha kwanzaWanbisaka na Shaw wanaweza laumu sana kuugua, their way back to the first team is getting narrower with this kind of performance from Dalot and Teles.
Cku zote ninachojua mm ni kwamba Dalot ni mchezaji mwenye control anayechezeshwa beki kwa bahati mby.Umemuona Dalot alivyokichafua?
Hii mechi hata tungefungwa, the performance is more than an improvement, it has been a U turn and quite heart soothing, it promising, its the real united way.Sasa huu ndo mpira bora tushinde kamoja kwa clean sheet
Well naweza sema we used to play like this but back then. Hii performance ya leo is how we should play alwaysI have never seen Manchester United playing like this since the departure of Sir Alex.