buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Afadhali tuko threat zaidi. Angekua masai mabackpasses kama yote. Mmeona hadi De gea kajiunga kupress.
Hapa ndio kocha sasa. Kuua kabisa mpinzani kisaikolojia.
Mechi ijayo ya City pep lazima agawe mbinu sio kuwaambia waache mazoezi hawajui united itachezaje.