Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man utd ni sawa na jamaa ambaye kapigika na maisha ,maisha yamemchapa kweli kweli ,lakin zaman baba yake alikuwa tajiri ....kutwaa ni daily kuwambia watu baba yake alikuwaga tajiri anamiliki magari na kampuni ....

Amesahau kuwa anatakiwa kujipigania kwa Sasa Kwan baba yake hayupo Tena ,na mali zimeshaisha
Correction. Mali hazijaisha ila anatakiwa atafute mali zake. Mali za baba si za kwake
 
Man utd ni sawa na jamaa ambaye kapigika na maisha ,maisha yamemchapa kweli kweli ,lakin zaman baba yake alikuwa tajiri ....kutwaa ni daily kuwambia watu baba yake alikuwaga tajiri anamiliki magari na kampuni ....

Amesahau kuwa anatakiwa kujipigania kwa Sasa Kwan baba yake hayupo Tena ,na mali zimeshaisha
Hahahaaaa daaaahhhhh we Jamaa
hio mifano yako inayofanana na kweli sio mizuri ujueeeee.
Kiukweli inauma sana tukiikumbuka man u ya mzee Ferguson, ila mdogo mdogo naamini next season tutarudi kwenye chart ya ubabe.
 
Liverpool have ascended the throne, they have leapfrogged Chelsea & City, later today potentially City will also be leapfrogging Liverpool and Chelsea and ascend the throne, if this happen, Chelsea will have got leapfrogged by both City and Liverpool which is curse, in the next three months this scenario will get repeated and push them two steps further down the ranks.
Trash

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Man utd ni sawa na jamaa ambaye kapigika na maisha ,maisha yamemchapa kweli kweli ,lakin zaman baba yake alikuwa tajiri ....kutwaa ni daily kuwambia watu baba yake alikuwaga tajiri anamiliki magari na kampuni ....

Amesahau kuwa anatakiwa kujipigania kwa Sasa Kwan baba yake hayupo Tena ,na mali zimeshaisha
Papaa Gx njoo umsikie huyu kenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasemaje wadau
264025969_572580320710282_3106902447756246056_n.jpg
 
Back
Top Bottom