Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa niliivyokiona kikosi cha palace na wanavyo tutesaga mh ushindi wetu utakuwa na kwa mbinu za kocha tu.
Screenshot_20211205-162657.jpg
 
Watu wa Liverpool wanadharau sana,wanamuita Don Rangnick kuwa ni Bielsa wa Kijerumani.
 
Tumeshazoeshwa vibaya na ole ndio mana kila game tunaingia na mind set ya kuzuia hivi mnasahau mpira ukiwa mmashambulia na kumiliki Sana mpinzani awezi kukusumbua acheni mentality ya uoga ya defensively dalot bonge la chezaji kwa kocha mzuri mwenye mfumo wa kushambulia ila kwa kudefence bissaka mzuri Sana .ole alikuwa ni mzuiaji tu na tulikuwa tunatoboka hivyo hivyo nadhan mpira ukiumiliki inakuwaga bora hata mpinzani hakushambulii ipasavyo
 
Back
Top Bottom