Kwa kifupi majukumu yake yatakuwa sawa sawa na mkurugenzi wa ufundi. Nafikiri akina Ed pamoja na bodi hawakutaka kuleta taharuki kusema jamaa anaenda kuchukua nafasi ya mtu (John Murtough) moja kwa moja.Hii "consultancy" maana yake ni nini?
Cheltako mpako hamna kitu haoChelsea mliingia vibanda umiza na matokeo yenu mfukoni mamaeeee mkajikuta mnatafuta sare.....
All winnable..Manchester United’s next ten games after hiring Ralf Rangnick as interim coach
manutd |
#GGMUView attachment 2027586
Nashukuru hapo nimepata mwangaKwa kifupi majukumu yake yatakuwa sawa sawa na mkurugenzi wa ufundi. Nafikiri akina Ed pamoja na bodi hawakutaka kuleta taharuki kusema jamaa anaenda kuchukua nafasi ya mtu (John Murtough) moja kwa moja.
Makubaliano ya mkataba wa mara ya pili waliokubaliana hicho kipengele cha "consultancy role with power"
-Atakuwa sehemu ya bodi kama mshauri.
-Atahusika ktk mchakato wa kupata kocha wa kudumu pamoja na bodi majira ya kiangazi.
-Atahusika na mikataba ya wachezaji ikiwa pamoja na usajili wao.
-Atahusika na dira ya timu kwa 100%.
Hahaaa Wtf!This person has arrived at the Ballon d'Or ceremony claiming to be a football player.
Security officials have stopped him. View attachment 2027538
Kwa lugha nyepesi ni kwamba manchester united wameamua kuanza upya hii project yao chini ya usimamizi na ushauri wa Don Rangnick.Kwa kifupi majukumu yake yatakuwa sawa sawa na mkurugenzi wa ufundi. Nafikiri akina Ed pamoja na bodi hawakutaka kuleta taharuki kusema jamaa anaenda kuchukua nafasi ya mtu (John Murtough) moja kwa moja.
Makubaliano ya mkataba wa mara ya pili waliokubaliana hicho kipengele cha "consultancy role with power"
-Atakuwa sehemu ya bodi kama mshauri.
-Atahusika ktk mchakato wa kupata kocha wa kudumu pamoja na bodi majira ya kiangazi.
-Atahusika na mikataba ya wachezaji ikiwa pamoja na usajili wao.
-Atahusika na dira ya timu kwa 100%.
hii hoja ya kusajili wachezaji kwa kuangalia zaidi upande wa kibiashara kuliko uwanjani wengi wetu hatuna uthibitisho wa dai hilo(tumekuwa tukizungumza tu ili kusongesha siku), kwa mtazamo wangu changamoto kubwa zinazotukabili mara kwa mara lifikapo dirisha la usajili ni:-Kama video fupi ya mahojiano kati ya Rangnick na waandishi wa habari inayosambaa mitandao ni kweli,jamaa ameweka wazi nini anataka kutoka kwa wachezaji na wachezaji wa ubora upi anaowataka kutoka kwenye mamlaka ya juu ya timu ili kutekeleza falsafa zake. Ukizingatia mifumo ya nyuma tangu kipindi cha Mourinho,United ilifanya sajili kwa kuzingatia zaidi sababu za kibiashara na mambo ya kiufundi yalifuata. Je,kwa kumpatia Ralf nguvu ya kufanya maamuzi hasa upande wa usajili wa wachezaji, united watakubali kuwekeza uwanjani zaidi na kupunguza manufaa wanayoyapata kutokana na mvuto wa mchezaji husika kibiashara?
Nini maoni yako mkuu?
nafikiri tunahukumiwa kwa sababu ya mafanikio tuliokwisha yapata huko nyuma, kibaya zaidi pia kuna kasumba imekuwa ikiendelezwa kutoka kizazi kimoja hadi chengine inayohusu kubebwa kwa manchester united ndani ya uwanja ndio sababu ya kudominate soka la Uingereza kwa takribani miaka 20 chini ya fergie jambo ambalo halina ukweli.Sijamaanisha hivyo mkuu. Naongelea kwanini huwa mnapata tabu sana mitaani na mitandaonu team yenu ikifanya vibaya. Nikwasababu mna kelele sana.