Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa kifupi majukumu yake yatakuwa sawa sawa na mkurugenzi wa ufundi. Nafikiri akina Ed pamoja na bodi hawakutaka kuleta taharuki kusema jamaa anaenda kuchukua nafasi ya mtu (John Murtough) moja kwa moja.

Makubaliano ya mkataba wa mara ya pili waliokubaliana hicho kipengele cha "consultancy role with power"
-Atakuwa sehemu ya bodi kama mshauri.
-Atahusika ktk mchakato wa kupata kocha wa kudumu pamoja na bodi majira ya kiangazi.
-Atahusika na mikataba ya wachezaji ikiwa pamoja na usajili wao.
-Atahusika na dira ya timu kwa 100%.
Mkurugenzi wa ufundi anabakiwa na majukumu gani sasa?
 
hii hoja ya kusajili wachezaji kwa kuangalia zaidi upande wa kibiashara kuliko uwanjani wengi wetu hatuna uthibitisho wa dai hilo(tumekuwa tukizungumza tu ili kusongesha siku), kwa mtazamo wangu changamoto kubwa zinazotukabili mara kwa mara lifikapo dirisha la usajili ni:-

  • kusajili mchezaji ambaye si hitaji kuu la mwalimu, tumeona wakati wa utawala wa mourinho alihitaji kwanza mlinzi wa kati lakini akaletewa kiungo (Fred) ambaye hawezi kutimiza majukumu yake ipasavyo bila ya kuwa na safu bora ya ulinzi.
  • kushindwa kusajili target lengwa za makocha, kwa mfano hili litokezea wakati wa utawala wa van gaal na hata david moyes (kocha anataka mchezaji A lakini analetewa mchezaji wa kundi C)
  • kurukia rukia wachezaji bila ya kuangalia direction yetu ya kiuchezaji, mfano rejea usajili wa juan mata na aina yake ya uchezaji jinsi isivyoendana na style ya kocha aliemsajili
  • kudelay kufanya maamuzi (ukisikia stori za nyuma ya pazia jinsi tulivyowakosa baadhi ya wachezaji utashangaa)
  • baadhi ya wachezaji tunauziwa ghali kwa sababu ya kukosa mipango bora ya kushawishi target nyenginezo.
mpaka bodi imefikia hatua ya kukubaliana na matakwa yake bila ya shaka hatutashuhudia upishanaji wa kauli kwenye suala zima la usimamiaji wa klabu ndani ya uwanja, kama kutatokezea sintofahamu kati yao namuona Rangnick akiondoka klabuni (jamaa ni mtu wa misimamo na kwa hilo waulize chelsea wali[omtaka msimu uliopita aliwajibu nini)

Ralf rangnick hajawahi kufanya kazi katika timu yenye budget kubwa mfano wa manchester united, kwa mukhtadha huo haitokuwa rahisi kuweza kumuhukumu. Imani yangu atayafanikisha zaidi ya yale aliyoyafanya akiwa kwenye timu zenye bajeti ndogo kwa kusajili na kushauri aina ya wachezaji wanaoendana na hicho anachotaka kukijenga.

kwa mfano leo nimeona tetesi za kiungo anayeitwa amadou haidara kutoka leipzig, release clause yake ni paundi millioni 33 hivyo klabu imeamua kumfuatilia mwishoni mwa wiki hii.
sidhani kama aliwahi kusajili mchezaji mwenye gharama kubwa mfano wa hiyo, kama atafiti philosophy yake sidhani kama ni tatizo kwetu na kwake.

kwa ufupi rangnick amepewa nafasi adhimu ya kuuonyesha ulimwengu wa wapenda soka yeye ni mwanadamu wa aina gani, Je ni mtu special kama anavyosifiwa na wanafunzi wake na nchi nzima ya ujerumani au ni mbabaishaji anayejificha nyuma ya mafanikio ya wanafunzi wake?
Hizo habari za Amadou ni za kutaka kuchafua hali ya hewa, japo kuna mtu kamshauri jamaa awe makini sababu mashambulizi na scrutiny atakayokabiliana nayo kwa kuwa kocha wa man utd hajawahi kutana nayo katika maisha yake.

nategemea busara za umri wake zitamuongoza vyema.
 
Hizo habari za Amadou ni za kutaka kuchafua hali ya hewa, japo kuna mtu kamshauri jamaa awe makini sababu mashambulizi na scrutiny atakayokabiliana nayo kwa kuwa kocha wa man utd hajawahi kutana nayo katika maisha yake.
muda huu changamoto hiyo inamkabili cristiano ronaldo kutoka kwa pundits.
eti hana msaada kwenye timu kwa sababu hatimizi majukumu ya kukaba
 
hii hoja ya kusajili wachezaji kwa kuangalia zaidi upande wa kibiashara kuliko uwanjani wengi wetu hatuna uthibitisho wa dai hilo(tumekuwa tukizungumza tu ili kusongesha siku), kwa mtazamo wangu changamoto kubwa zinazotukabili mara kwa mara lifikapo dirisha la usajili ni:-

  • kusajili mchezaji ambaye si hitaji kuu la mwalimu, tumeona wakati wa utawala wa mourinho alihitaji kwanza mlinzi wa kati lakini akaletewa kiungo (Fred) ambaye hawezi kutimiza majukumu yake ipasavyo bila ya kuwa na safu bora ya ulinzi.
  • kushindwa kusajili target lengwa za makocha, kwa mfano hili litokezea wakati wa utawala wa van gaal na hata david moyes (kocha anataka mchezaji A lakini analetewa mchezaji wa kundi C)
  • kurukia rukia wachezaji bila ya kuangalia direction yetu ya kiuchezaji, mfano rejea usajili wa juan mata na aina yake ya uchezaji jinsi isivyoendana na style ya kocha aliemsajili
  • kudelay kufanya maamuzi (ukisikia stori za nyuma ya pazia jinsi tulivyowakosa baadhi ya wachezaji utashangaa)
  • baadhi ya wachezaji tunauziwa ghali kwa sababu ya kukosa mipango bora ya kushawishi target nyenginezo.
mpaka bodi imefikia hatua ya kukubaliana na matakwa yake bila ya shaka hatutashuhudia upishanaji wa kauli kwenye suala zima la usimamiaji wa klabu ndani ya uwanja, kama kutatokezea sintofahamu kati yao namuona Rangnick akiondoka klabuni (jamaa ni mtu wa misimamo na kwa hilo waulize chelsea wali[omtaka msimu uliopita aliwajibu nini)

Ralf rangnick hajawahi kufanya kazi katika timu yenye budget kubwa mfano wa manchester united, kwa mukhtadha huo haitokuwa rahisi kuweza kumuhukumu. Imani yangu atayafanikisha zaidi ya yale aliyoyafanya akiwa kwenye timu zenye bajeti ndogo kwa kusajili na kushauri aina ya wachezaji wanaoendana na hicho anachotaka kukijenga.

kwa mfano leo nimeona tetesi za kiungo anayeitwa amadou haidara kutoka leipzig, release clause yake ni paundi millioni 33 hivyo klabu imeamua kumfuatilia mwishoni mwa wiki hii.
sidhani kama aliwahi kusajili mchezaji mwenye gharama kubwa mfano wa hiyo, kama atafiti philosophy yake sidhani kama ni tatizo kwetu na kwake.

kwa ufupi rangnick amepewa nafasi adhimu ya kuuonyesha ulimwengu wa wapenda soka yeye ni mwanadamu wa aina gani, Je ni mtu special kama anavyosifiwa na wanafunzi wake na nchi nzima ya ujerumani au ni mbabaishaji anayejificha nyuma ya mafanikio ya wanafunzi wake?
Kwenye bajeti ya usajili huyu mjerumani mbona hana tofauti na babu fergie
 
ameandika Chris Wheeler:
  1. Rangnick set to miss Arsenal game due to work permit red tape and new Covid rules
  2. staff told he's unlikely to take over until end of the week
  3. Utd scrambling to have him in place for Palace
  4. Carrick will stay in charge for now
=================
wajuzi wa mambo nielewesheni
  • kwa nini antonio conte amepata kibali mapema (tuseme yeye alishawahi kufanya kazi Uingereza0
  • thomas tuchel naye alipata kibali ndani ya muda mfupi(hakuwahi kufanya kazi uingereza)
  • kwa nini beki wa spurs anayeitwa romero alipata kibali mapema lakini varane alichelewa haliyakuwa wote hawakuwahi kufanya kazi Uingereza.
Man United hawana connection siku hizi.
 
Mkurugenzi wa ufundi anabakiwa na majukumu gani sasa?
Huyu aliyepo alikuwa figurehead tu, without any real power to influence football matters. Ed Woodward ndiye aliyekuwa ana-oversee transfers. Mfano mzuri ni usajili wa Cristiano Ronaldo.

Kikao cha kumfukuza Ole walikaa watu wanne Avram Glazer and Joel Glazer via Zoom, Ed Woodward and his expected replacement, commercial director Richard Arnold.

Sporting directors and directors of football at European clubs are often given power over a manager’s future, or at least a say. On John Murtough, his job is purely an advisory role.
 
Inamaana Ed Woodward na kina Glazer ni wahuni?
 
Ili huyu cocha wetu anahitaji maombi, kuna hatari Man Utd ikawa ni sophisticated zaidi yake. Sababu nasikia yeye kataka aende na video analyst wake, lakini Man Utd iliishamove from contemporary video analysis to Artificial Intelligence, sasa atakuwa compatible kwenye hii set up kweli?
 
Wacha akutane na wanaume wa shoka pep,klop ,TT ........

Mtamkataaa wenyewe
 
Inamaana Ed Woodward na kina Glazer ni wahuni?
Sana tena sio kidogo. Hicho cheo walikileta baada ya recommendations za watu kugundua blunder nyingi alizokuwa anafanya Ed Woodward hususani ktk usajili na mikataba.

Just imagine alimsainisha Phil Jones mkataba wa miaka minne na nusu mwaka 2019. Mchezaji ambaye ndani ya misimu mitatu mfululizo alikuwa amecheza chini ya 10% ya michezo aliyopaswa kucheza.

Mpaka hapa niapoandika toka amesaini ule mkataba feb. 2019, Phil Jones mpaka leo amecheza michezo 8 tu.
 
Mancini at Old Trafford?
PSX_20211130_225944.jpg
 
Back
Top Bottom