Siasa mbaya sana
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 1,814
- 3,107
Man u mmepitwa Hadi na aseno?? Wakati mlikua mnawacheka
Hizo DNA zenu ndio zimemuondoa ole ....Ilibidi Carrick aendelee,yuko vizuri maana ana DNA za Fegerson
Dogo umecheki jinsi jana nilivyowasaidia kupunguza point at the top?Huzo DNA zenu ndio zimemuondoa ole ....
Hahaa kweli nyumbu ni nyumbu tu
Arsenal atakua kwenye nafasi zake za kila siku kabla ya krismasi.Chelsea mliingia vibanda umiza na matokeo yenu mfukoni mamaeeee mkajikuta mnatafuta sare.....
Watu hawamuoni huyuKwangu me heshima zote nazielekeza kwa Nemanja Matic.
Jana matic alikichafua kinoma.
Wewe ni shabiki wa timu gani, mkuu!?
Marcelo Bielsa version 2.Mafanikio ya Ragnick View attachment 2027310View attachment 2027311
Sawa tu ila dna imekwenda na majiMarcelo Bielsa version 2.
Duh penalty gn hii wakuu.
alilewa huyo bwana akakurupuka na ronaldoCR7 aja juu View attachment 2027541
Aisee Chelsea walikuwa wanajiona Mungu mtu ......Dogo umecheki jinsi jana nilivyowasaidia kupunguza point at the top?
Cheki hii ng'ombe mtu..Aisee Chelsea walikuwa wanajiona Mungu mtu ......
Safi Sana ,mmefungulia Sasa ,vipigo vitakuwa vingi kwa Chelsea ...