Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hujui chochote kuhusu hii team wewe, ungekuwa unajielewa usingedhania kuwa Ronaldo pekee ndo alikuwa ni mzigo kwa OLE, yani hujaona upumbavu wa Maguire, AWB ,Mac Tominay, na mbinu hafifu za OLE ila umemuona Ronaldo tu.

Haya kama kweli unajilewa tuambie hapa, ni lini Fargie alimfokea OLE kwa kumpiga Ronaldo benchi? Wakati huo wewe ulikuwa wapi?
Fergie hakumfokea Ole..ila alimind ni kwa nini hakumwanzisha Ronaldo..na sauti na video zilinaswa akiwa anaongea na Husein Bolt baada ya mechi.

Alisikika akisema"You have to start with best players".
 
Kama tungelikuwa na shida ya kocha mwenye CV nzuri ya makombe tungelimpa timu ernest valverde aliyeshinda mataji akiwa Barcelona lakini ndiye aliefeli interview hivyo akaondolewa kwenye list ya makocha wanaofikiriwa.

kinachotafutwa ni muelekeo mpya wa ujengwaji na uendeshwaji wa timu baada ya kufeli project ya Ole ilioaminiwa mpaka dakika ya mwisho na kupewa resources za kutosha ndio maana klabu imemuona Rangnick ni mtu sahihi wa kuanza naye kuliko hao wengineo(fonseca,garcia, n.K)

Hao wengineo wangelikuja na kuanzisha ideas zao zitakazodumu kwa muda mfupi then cycles ikarudi tena vile vile Kama ilivyo mwanzo.

Bodi ya klabu wamejifunza makosa kwa sasa wanaiangalia zaidi manchester ya mbeleni na si hii ya miezi 6, kama wewe na wenzako munaiangalia manchester united ya miezi 6 niwape pole na pia andaeni nguvu ya kicheko cha kutucheka na kutudhihaki kwa sababu upo uwezekano wa kumaliza tena msimu bila ya kombe tukiwa na rangnick lakini naamini atatuacha tukiwa sehemu nzuri sana.

si rahisi kuingiza philosophy mpya ya uchezaji na recruitments process ndani ya timu nzima kwa miezi 6 ndio maana hata klopp ikamchukua muda, bodi imekubaliana na mpango wake wa kumpa nafasi ya ushauri(wasiwasi wangu watampa hata timu) ili aendeleze hicho atakachokianza.

Chini ya project ya Ole tulikuwa tunakwenda kumsajili kieran trippier mwenye miaka 31 kwa paundi million 15 hadi 25 lakini imani yangu inaniambia usajili wa wachezaji aina ya trippier hautowezekana tena chini ya fikra na ushauri wa Rangnick.

Tutasajili wachezaji na kuajiri makocha kwa mujibu wa structure ya uchezaji wetu na si mafanikio yao kama tulivyofanya mwanzoni, Leo hii tuna wachezaji wanaofiti mfumo X na wengine hawafiti mfumo X kwa sababu ya sera mbovu.

Karibu rangnick
Kama video fupi ya mahojiano kati ya Rangnick na waandishi wa habari inayosambaa mitandao ni kweli,jamaa ameweka wazi nini anataka kutoka kwa wachezaji na wachezaji wa ubora upi anaowataka kutoka kwenye mamlaka ya juu ya timu ili kutekeleza falsafa zake. Ukizingatia mifumo ya nyuma tangu kipindi cha Mourinho,United ilifanya sajili kwa kuzingatia zaidi sababu za kibiashara na mambo ya kiufundi yalifuata. Je,kwa kumpatia Ralf nguvu ya kufanya maamuzi hasa upande wa usajili wa wachezaji, united watakubali kuwekeza uwanjani zaidi na kupunguza manufaa wanayoyapata kutokana na mvuto wa mchezaji husika kibiashara?
Nini maoni yako mkuu?
 
Maoni gani wakati timu lenyewe liko linajifia ....

Hakuna timu hapa
 
Wakuu mimi nina swali..

Ralf Rangnick atakuja na kutengeneza style of play lakini itakuwa ni kwa miezi sita tu..Je,kocha mpya itabidi afuate misingi hiyo hiyo ya Ralf au itabidi atengeneze system yake?
Interim manager baada ya hapo ata-move up the hierarchy in a de factor Sporting Director position (consultancy role with power to shape the club in his vision).
 
Kesho hiyo
20211127_202118.jpg
 
Nakumbuka alikuwa anajibu swali la yule mpiganaji wa Russia anayeitwa Habib juu ya uamuzi wa Ole kutokuanza na Ronaldo dhidi ya Everton.

Yalikuwa ni mazungumzo ya kawaida tu kati ya watu wawili na bahati mbaya waandishi wa habari wakayatafsiri vibaya maoni ya ferguson,
ukijumlisha na matokeo mabaya ya ile mechi ndio ikawa habari ya mjini.

Hakumfokea kwa maneno makali
Nakubaliana na wewe.
 
Fergie hakumfokea Ole..ila alimind ni kwa nini hakumwanzisha Ronaldo..na sauti na video zilinaswa akiwa anaongea na Husein Bolt baada ya mechi.

Alisikika akisema"You have to start with best players".
Mdau alidai kuwa OLE alifokewa, ndomaana nikahoji.
 
Interim manager baada ya hapo ata-move up the hierarchy in a de factor Sporting Director position (consultancy role with power to shape the club in his vision).
what if the new Manager fails to implement the consultant's advice, or he simple has a different belief or subsequent to recruitment he develop a different belief.

Nimesoma pia, board inamlazimisha afanye kazi na Michael pamoja na Phelan, na inampango wa kuwapa hao jamaa permanent coaching contracts, permanent in that, contract with no time limit, eti kwa sababu they have invested alot on them.

Na nimemsoma Michael anasema when the new Manager come, he will be very successful because he will find a strong foundation built by OLE, Michael and Phelan.

hivi hatuoni an imminent next managerial crisis hapa?

Mi naanza kuona kama OLE amekuwa kama scape goat tu, the real source of problem is still obscure or is being skirted. Kuna watu pale OT wanainfluence kubwa na wamedhamiria ideologies zao ni lazima ziprevail.
 
awa ni midtable team rasmi kama ujajua ulishawah ona wap marehem akafufuka kwa kumezeshwa dawakama angekua kocha mzuri kama tt kwann wasimuamin

Sent using motorola 78
Ha ha nimecheka sana wnataka awape mbinu mpya ngoja kesho tuone huenda wakatok na chochote kitu wnaimni kubwa sna na RAGNACK
 
what if the new Manager fails to implement the consultant's advice, or he simple has a different belief or subsequent to recruitment he develop a different belief.

Nimesoma pia, board inamlazimisha afanye kazi na Michael pamoja na Phelan, na inampango wa kuwapa hao jamaa permanent coaching contracts, permanent in that, contract with no time limit, eti kwa sababu they have invested alot on them.

Na nimemsoma Michael anasema when the new Manager come, he will be very successful because he will find a strong foundation built by OLE, Michael and Phelan.

hivi hatuoni an imminent next managerial crisis hapa?

Mi naanza kuona kama OLE amekuwa kama scape goat tu, the real source of problem is still obscure or is being skirted. Kuna watu pale OT wanainfluence kubwa na wamedhamiria ideologies zao ni lazima ziprevail.

Kocha mpya kabla hajakubali kufanya kazi alitaka awe na nguvu ya maamuzi katika timu hilo amewahi lisema hafharani jinsi anavyotaka kuwa na maamuzi etc...fabrizio romano na Ornstein waliotoa bteaking news yake pia walisema suala hilo la kukubaliwa kufanya maamuzi

Hivyo yeye kocha ndio ataamua Carrick, kenna na phelan wabaki au wasibaki kulingana ma hiv6o vyanzo vya kuaminika na kocha ameruhusiwa pia kuleta watu wake hata kama atataka hao kina Carrick.....

Hamna mtu atakaemuingilia kocha kwa maana ni mtu ambaye hayumbishwi na alikataa offer ya kwanza hadi alipokubaliwa kuwa na nguvu ya maamuzi.....

Suala la permanent contracts sio la kweli na haliwezi kutokea, kwasababu huyo Kenna na phellan waliishataka ondolewa na ole sema Carrick akaomba backup yao mechi hizi chache....

Hivyo board haijamlazimisha afanye kazi nao ni maamuzi yake yeye asipowataka ataiambia board

Pia hata amekuja kujenga misingi ya soka na playing style ya kisasa....hivyo hata akifeli sahizi ataendelea miaka 2 kama mshauri katika masuala ya soka kwasababu anaexperience na uwezo wa kutosha...

Hao source yao sio ya kweli mkuu.....naamini habari ukisikia Skysport, fabrizio, ornstein [kwa uingereza] inakuwa na ukweli vyombo vingine ni kutaka kuuza tu magazeti....ni sawa na habari ya jana nyingine kuwa mastar wamenuna kwenye watsapp sababu hawakuambiwa ralf ndio anakuja which is totaly absurd na uongo
 
Back
Top Bottom