Kwa bahati mbaya kwa Wapinzani, Ragnick ameshinda makombe 7 katika carrier yake kama kocha
Kabla ya Ragnick, Hoffenheim ilikuwa ni timu ya kawaida kama ilivyo Leeds na Burnley pale Uingereza. Lakini ndiye kocha aliyeifikisha Hoffenheim hatua ya nusu fainali UCL na ikatolewa na Man Utd ya Ferguson. Tangu hapo Hoffenheim haijawahi tena kufika hatua hiyo
Huyu ndio kocha aliyoitoa Schalke mavumbini mpaka akaiwezesha kushinda DFL Pokal 2005, Schalke sasa hivi ipo Championship ya Ujerumani kwa sasa
Mfano kati ya makombe aliyoshinda ni DFL Pokal 2005 (Schalke), DFL Pokal 2011 (Hoffenheim), DFL Super Cup (Hoffenheim) 2011
Kwa hiyo pamoja ya ku philosophise mpira na kuwa Gegenpress Godfather ambayo ndio imekuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya Klop na Tuchel lakini pia amefanya kazi nzuri kama kocha.
Nitakukumhusha pia huyo Klop anayeimbwa leo duniani, alipokuwa anafundisha timu ndogo huko Ujerumani, alishusha daraja klabu ya Mainz. Tuchel pamoja na kufundisha Dortmund timu mojawapo kubwa Ujerumani lakini aliambulia kombe la DFL Pokal tu
Kwa hiyo relax mkubwa. After all anakuja kama interim coach. Ila bado ni kocha mzuri.
Sent from my M2004J19C using
JamiiForums mobile app