Mmeanza, yani mara hii apewe na mkataba?Carrick at the wheel.
Listen you might not thank me but mgeeni mkataba aandike mshahara anaotaka
Apewe sisi mashabiki tumeridhika nayeMmeanza, yani mara hii apewe na mkataba?
Mpaka amfunge Chelsea wikiendi hapo hii khoja itakuwa na makalio ya kutoshaApeweeeeeeee timu
Akimfunga Chelsea utamleta nani tena?Mmeanza, yani mara hii apewe na mkataba?
Ha haMpaka amfunge Chelsea wikiendi hapo hii khoja itakuwa na makalio ya kutosha
namuona Fundi maiko anainyemelea na kuipendezesha DNA YAKE itoshe tu kusema OLE katuchelewesha na sana wakati FUNDI MAIKO ANATELEZA TU traaaaaaaahCarrick hapewi mkataba kwa taarifa yako. Pochettino ndio anakuja kua kocha mkuu.Mpaka amfunge Chelsea wikiendi hapo hii khoja itakuwa na makalio ya kutosha