BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Hatuna uwezo wa kumfunga chelsea. Tusijidanganye. Mafanikio yetu yatakuja baada ya miaka mitano.Chelsea wajipange hiki kikosi kinataka tajiView attachment 2021415
Hatuna uwezo wa kumfunga chelsea. Tusijidanganye. Mafanikio yetu yatakuja baada ya miaka mitano.Chelsea wajipange hiki kikosi kinataka tajiView attachment 2021415
me nlishangaa kuona hajafurahia kabisa sio kawaida yakeBruno kamind kuanzia benchi leo.. Ukiona assist aliyotoa Sancho alipofunga hakushtuka wala kushangilia wala kuungana na wenzake kumpongeza
Tutamfunga.. Hatuna uwezo wa kushinda day in day out kwenye EPL, Ila tunauwezo kabisa wa kumfunga ChelseaHatuna uwezo wa kumfunga chelsea. Tusijidanganye. Mafanikio yetu yatakuja baada ya miaka mitano.
Kabisa, hakufurahia wakati kawaida yake angekua wa kwanza kumkimbilia Sancho, given kipindi kigumu anachopitia Sancho pale Unitedme nlishangaa kuona hajafurahia kabisa sio kawaida yake
Sawa punjeTutamfunga.. Hatuna uwezo wa kushinda day in day out kwenye EPL, Ila tunauwezo kabisa wa kumfunga Chelsea
awafunge kamba auHivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer View attachment 2021308



nyumbu banataj labda la uzimaChelsea wajipange hiki kikosi kinataka tajiView attachment 2021415
Aifunge Chelsea ipi?Hivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer View attachment 2021308






Ni mapema sana. Jenga kwanza kikosTutamfunga.. Hatuna uwezo wa kushinda day in day out kwenye EPL, Ila tunauwezo kabisa wa kumfunga Chelsea
Hapana mkuu. Sisi tuangalie ya miaka mitano ijayo lakini sio sasa. Chelsea hii iliyomchakaza Juventus?Tutamfunga.. Hatuna uwezo wa kushinda day in day out kwenye EPL, Ila tunauwezo kabisa wa kumfunga Chelsea
Kumbe siyo wanaumeOyaa mashetani naomba mkanivunjie lile daraja la pale Stamford bridge kama kweli nyie ni wanaume ......






Mkuu huoni kwamba nyie ndo mjipangeChelsea wajipange hiki kikosi kinataka tajiView attachment 2021415
