Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer View attachment 2021308
Yani kisa amemaliza top four ndio tumthibitishe? Mbona Ole alikuwa na uwezo wa kumaliza top four msimu huu......carrick labda abebe epl ndio tumthibitishe hivihivi hana vigezo....

Alafu bruno ameanzia nje sio kwa sababu ya Carrick kampiga chini ni kumpumzisha ili aanze game na chelsea
 
Hivi Carrick akishinda leo na akiwafunga Chelsea kwanini asipewe mikoba akamaliza musimu na akipata top four finish wakamthibitisha. Kitendo cha kumweka benchi Fernández kinaonyesha haogopi majina makubwa kama Solskjaer View attachment 2021308
Hata hivyo Carrick ni care taker hadi msimu uishe. Kocha mzuri hamuwezi kumpata January. Kama Pochetino ni hadi msimu uishe
Mlifanya uzembe mkamchelewesha Ole hadi Conte akaenda Spusr, a very big mistake uongozi wenu umefanya
 
manutd |
#GGMU
IMG_20211123_203154_181.jpg
 
Back
Top Bottom