Mchana niliongea mie kuhusu DNA kuna mtu akasema mie cjui mpira na siijui man u yao niwaachie sawaInabidi tujitafakari sanaaaaaaa vinginevyo maumivu hayataisha
Kawaida kwenye mpira mkuuu
Man u timu yetu bwana haiwezekani mamluki tu watoke huko walikotoka waje waendeshe timu.Acha kuwapoteza wenzanko haha mkuuu
saa 8:45Guys Mechi saa ngapi, mechi sio ya kukosa hii.
Great, quite early sina kisingizio cha kutoangalia.saa 8:45
20:45 EATGuys Mechi saa ngapi, mechi sio ya kukosa hii.
nimempigia sana upatu huyu dogoVdB fanya mambo sasa tukuone.