Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,310
- 46,806
[emoji23][emoji23][emoji23]"Ole ana watoto.wawili wa kiume wanakula kama mchwa..msifute kazi"...walisikika wanaopenda kujichukulia points 3 kwa ole kiulani chap na ukali.Sio fair kabisa kumfukuza mtu kazi wakati ajira zenyewe zimekuwa ngumu kiasi hiki.
Mtakoma wazee..TUNAANZA UPYAAAAAAAA