Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu anasema tuwalaumu wachezaj nikwerl wamezingua but wachezaj wako chin ya kocha na kocha ndo wakuamua mchezaj gan asicheze
Ole out this night
 
Nimechogundua ni kwamba ....

Ole ni chanzo cha matatizo lakin Kuna wachezaji ambao ni zaidi ya matatizo ....

Wakati ole anaomba msamaha kwa mashabiki ,Bruno Yuko nyuma anasema asilaumiwe kocha ,...maana yake Kuna wahuni wachache wamejichimbia ndani ya united ni wavivu na hawaingii uwanjan kupambambana kabisa ....

Body language ya wachezaji wa united inaonesha hawapo uwanjani kabisa kuipambanIa timu .....

Kama wachezaji zaidi ya wanne hawajitumi kwenye team ni ngumu kuwaondoa wote kwa pamoja ,lakin kocha ni rahisi Sana kuondolewa ....huwezi fukuza wachezaji wote wanne ,lakin ni rahisi Sana kumfukuza ole peke yake....

Hapa ole lazima aondoke tu ,Kuna mgomo umejichimbia ndani kaa ndani ,huwezi kuona kwa macho ....lazima ole aondoke united either kwa kufukuzwa au yeye mwenyewe abebe mabegi arudi kwao kuchunga ng'ombe ......
 
Nilichojifunza leo. Wachezaji wabaya wanaanza first eleven alafu wachezaji wazuri wanakaa benchi....

Pia nimegundua wachezaji wengi wakudefence wanaanza first eleven wakati wachezaji wakushambulia wanaanzia benchi ma ole huwa anatuaminisha timu yetu ni attack mwanzo mwisho
 
hata huko ana kushindwa kutambua wachezaji fulani wamedevelop -ve mentality na kuwaweka benchi ni ubovu wa cocha, pia kuwatambua na kushindwa kuwachukulia hatua ni ubovu wa cocha pia.

kwani leo ni mara ya kwanza, at least miezi hii miwili kusikia baadhi ya wachezaji wanasema cocha sio tatizo bali wachezaji? cocha amezifanyia comments hizi kazi namna gani?
 
255784328988_status_e2e4e6d473054c95961e84caddd6075f.jpg
 
sijui kwann ninajiamini kiasi hiki kwamba hatimaye ole anaondoka.

bruno ana tabia za kike, anajua kocha ni mbovu kimbinu, kisa huwa anawabembeleza analeta huruma uchwara hovyo kabisa
 
🗞 The Glazer family has instructed club officials to further accelerate attempts to persuade Zinedine Zidane to take over the managerial position mid-season, increasing #mufc’s financial offer to the three-times Champions League winning coach. [@DuncanCastles, @TimesSport]
 
Nilichojifunza leo. Wachezaji wabaya wanaanza first eleven alafu wachezaji wazuri wanakaa benchi....

Pia nimegundua wachezaji wengi wakudefence wanaanza first eleven wakati wachezaji wakushambulia wanaanzia benchi ma ole huwa anatuaminisha timu yetu ni attack mwanzo mwisho
Now you are getting to the conclusion that OLE's words and actions are incoherent.
 
Kikao cha dharura cha bodi kimeitishwa ila sina matumaini nacho kama Sir Alex atahudhuria basi anawaweka wote mfukoni mwake
Leo hakuna cha Sir Alex wala Sir Elton, lazima kieleweke na akileta ujinga naye anaondoka. Kamati ya ufundi toka Tz tuko kazini, timu yetu sote na kuumia tunaumia sote, timu co ya babaake ile waliyoianzisha washakufa.
 
Back
Top Bottom