Pia unaweza kufatilia BSS au kulfi kama unaona mpira huuelewiMkimtimua Ole ili aje Zidane ni kufuta sifuri na kuandika O
Kama unaona hiyo ni dawa basi kwa hakika ni kwamba ulianza kufuatailia bss ilivyoacha kuruka hewani ndiyo ukajaribu na mpira.Pia unaweza kufatilia BSS au kulfi kama unaona mpira huuelewi
Kweli bhn ulisema.halafu timu wanapewa carrick na fletcher kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii timu nahisi Fergie anatufanyia upuuzi pale na vitoto vyake.Carrick naye aondoke pale.
Zizzou siyo kocha labda msimamizi wa mazoezi.Msiompenda kaja nafsi inanambia 100% anakuja Zizou[emoji91]yaani itakua[emoji91]
Vipi bado utaendelea kuitunza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuuu natunza comment yako
Kidgo inaingia akilinVipi bado utaendelea kuitunza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2018190