The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Sure.Even this Sir Alex should be axed from the Board. Man Utd needs to move on from him. This old man is pinning this club to the past.
Sure.Even this Sir Alex should be axed from the Board. Man Utd needs to move on from him. This old man is pinning this club to the past.
Those Old respected guys should be relieved from anything they are engaged with the club, the club needs a new clique with fresh ambitions and zeal.Leo hakuna cha Sir Alex wala Sir Elton, lazima kieleweke na akileta ujinga naye anaondoka. Kamati ya ufundi toka Tz tuko kazini, timu yetu sote na kuumia tunaumia sote, timu co ya babaake ile waliyoianzisha washakufa.
Mashabiki wamemuwakia kuwa kama anaona hii hali ni saw la bora aondoke na Ole.....nimekutana nauo twitter hukosijui kwann ninajiamini kiasi hiki kwamba hatimaye ole anaondoka.
bruno ana tabia za kike, anajua kocha ni mbovu kimbinu, kisa huwa anawabembeleza analeta huruma uchwara hovyo kabisa
Mkuu sijawahi amini motivation za Ole.....baada ya kufungwa na city alisema "tutarudi kama mnyama aliejeruhiwa dhidi ya Watford" hahahahaNow you are getting to the conclusion that OLE's words and actions are incoherent.
Nimecheka sana kwamba mzee akileta nongwa tunamuwashia moto hahahaha.....Leo hakuna cha Sir Alex wala Sir Elton, lazima kieleweke na akileta ujinga naye anaondoka. Kamati ya ufundi toka Tz tuko kazini, timu yetu sote na kuumia tunaumia sote, timu co ya babaake ile waliyoianzisha washakufa.
Ole is terrible in team selection and game management.Nimechogundua ni kwamba ....
Ole ni chanzo cha matatizo lakin Kuna wachezaji ambao ni zaidi ya matatizo ....
Wakati ole anaomba msamaha kwa mashabiki ,Bruno Yuko nyuma anasema asilaumiwe kocha ,...maana yake Kuna wahuni wachache wamejichimbia ndani ya united ni wavivu na hawaingii uwanjan kupambambana kabisa ....
Body language ya wachezaji wa united inaonesha hawapo uwanjani kabisa kuipambanIa timu .....
Kama wachezaji zaidi ya wanne hawajitumi kwenye team ni ngumu kuwaondoa wote kwa pamoja ,lakin kocha ni rahisi Sana kuondolewa ....huwezi fukuza wachezaji wote wanne ,lakin ni rahisi Sana kumfukuza ole peke yake....
Hapa ole lazima aondoke tu ,Kuna mgomo umejichimbia ndani kaa ndani ,huwezi kuona kwa macho ....lazima ole aondoke united either kwa kufukuzwa au yeye mwenyewe abebe mabegi arudi kwao kuchunga ng'ombe ......
I once said, wachezaji wa kingereza ni takataka.Ole leo kataweza kumgegeda mkewe kweli??..
Alooh bodi ifanye haraka.
Af bhana kumbe VdB anaweza kucheza nafasi ya kilaza McTominay na kudeliver a good offensive work.