Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Northern ireland huyo..... ataturudisha sana nyumaHuyo Rodgers ni muingereza?
Northern ireland huyo..... ataturudisha sana nyumaHuyo Rodgers ni muingereza?
Aone aibu aondoke Mwenyewe.Mie nafikiri Ole afukuzwe abaki Carrick
Then man u matic na sancho hao wote hawachezi wana zurura tu
Kwani sancho yupo dimbani?Mie nafikiri Ole afukuzwe abaki Carrick
Then man u matic na sancho hao wote hawachezi wana zurura tu
Huyo Fred akiwa Brazil anakuwaje?FRED, FRED, FRED...BILA FRED MAN U YETU NI TAKATAKA..
HATA HIVYO MCHEZAJI ANACHEZA FISRT ELEVEN YA BRAZIL ANAANZIA NJE!!! HUYU SOSHA AONDOKE TU AISEE.
Carrick ana akili gani ya mpira?Hivi Kina carrick wanafanyaga kazi gani hasa
Hiko ndio kiwango cha man uNinachokiona ni mgomo tu leo hamna kingine wachezaji wameamua kufanya kwa vitendo.
Wewe GASHO unajua nini kuhusu mpira!!??1. MATIC NI MCHEZAJI MZURI SANA NA NI MZOEFU, LAKINI KWA MECHI HII INA SPIDI SANA AMESHINDWA KOCHA AANGALIE KUMBADILI MAPEMA.
2. TOMINAY ANA YELLOW CARD, KWA MECHI HII ILIVYO NA SPIDI HAWEZI AMESHINDWA KABISA KUINGIZA MGUU ANAOGOPA YELLOW YA PILI
3. MMOJA KATI YA HAWA AMPISHE FRED, MAPAFU YA MBWA NDIO ATAWAVURUGA SANA WAPINZANI HAPO KATIKATI.
abaki Carrick kufanya nini mkuu? hana uzoefu wowote na kwa tunavyocheza inqonesha hana mbinu zozote.....phelan mda wote ameegemea siti tumbo kubwa hana matatizo.....Mie nafikiri Ole afukuzwe abaki Carrick
Then man u matic na sancho hao wote hawachezi wana zurura tu
Huyo Fred akiwa Brazil anakuwaje?
Hamna cha matic wala nini game nzima wachezaji hawachezi huu ni mgomo dhahiri shahili.1. MATIC NI MCHEZAJI MZURI SANA NA NI MZOEFU, LAKINI KWA MECHI HII INA SPIDI SANA AMESHINDWA KOCHA AANGALIE KUMBADILI MAPEMA.
2. TOMINAY ANA YELLOW CARD, KWA MECHI HII ILIVYO NA SPIDI HAWEZI AMESHINDWA KABISA KUINGIZA MGUU ANAOGOPA YELLOW YA PILI
3. MMOJA KATI YA HAWA AMPISHE FRED, MAPAFU YA MBWA NDIO ATAWAVURUGA SANA WAPINZANI HAPO KATIKATI.
Sawa ni wabovu ila sio kwa mpira tunaocheza sio kweli.Hiko ndio kiwango cha man u
Moto mnaopelekewa sio wa kawaida
Hilo ni tatizo kubwa sana.Hili suala la kupanga kikosi kwa kuangalia utaifa tumewahi kulisemea mara kibao kama cancer inayoiua united. Unashindwa ama umlaumu Ole,wachezaji wa kiingereza au wachambuzi uchwara wa class of 92. Inauma sana.
Kocha amekosa uthubutu wa kubadili walau wachezaji 2-3 wa kikosi cha kwanza ili kutafuta suluhu ya tatizo la timu. Mwisho wa siku tutakuja kukubali Fred anaumizwa na uwepo wa Mctominnay kwenye dimba la kati na sio kwamba ni kilaza.