Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HABAR ILIOPO MANCHESTER

Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT

Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo isichezwe wamekubali hata Watford wapewe points ilimradi tu sosha aondoke

Mpaka sasa manchester wanawatag makocha watatu 1zizu 2 Eric hag 3 Luis Enrique

Rio Ferdinand yuko tayari katika maandamano hayo kuungana na mashabiki ili kuinusuru manchester na kufukuzwa kwa ole

Kwa upande mwengine Edwoodward anaweza asiwe na cheo chake huenda kikachukuliwa na mtu mwengine

Kwa upande Edwin van dar Sar anaweza Kuja United kuwa mzee wa kuleta vipaji pale OT

inawezekana sosha asirudi Tena kwa taarifa zilizopo timu sasahivi yupo nayo Michael Carrick mpaka watakapoamua yao maana mashabiki washasema wataandamana na ndo mana Sosh yupo pembeni kwanza anasikiliza upepo

Hayo ndio yaliopo ila naamini kila mmoja wetu humu anatamani ifike siku ya jmosi ili ajionee kile kitachojiri pale old Trafford

NINI MAONI YAKO SHABIKI MWENZANGU
Wewe utakuwepo ot siku hio!?
 
Katika watu ambao nawachukia ni wanaotuita nyumbuu.. yaan Bora Bora ujue kuwa kuniita nyumba wewe ni Ku.ma yamama ya maamamako. Niite jina lingine..sio nyumbu mavi nyie
Pundamilia je!?
 
Tu najua kutakua na matokeo mabovu na Watford

Lakin bado tunaimani na Sir oleguna shosha kudadadeki
 
Sema Bruno na Ronaldo watambeba tena kesho hata timu ikiwa na perfomance mbovu.

Ila kama unavyosema ikitokea tukafungwa.,ebhana eee lazima aondoke.
Hata Watford akiwafunga leo ,hizi kelele za nyuma ya keyboard jf haziwezi kumtoa ole pale OT
 
Kosi alijakaa kiushindi kabisa yani.dalili zakupigwa 2 bila hizi
Screenshot_20211120-170600.jpg
 
Mmemnunua De Beek mbona hachezi?

Huyu anacheza nafasi ya Pogba na Fred sasa kama hao wataperform hovyo ndiyo na yeye atapata namba.

Leo.

Pogba nje. Fred nje.

Matic ndani. Ndugu yake Ferguson ndani.

Na amerudia 4 2 3 1. Formation ya ushindi.
 
Varane majeruhi yamemharibu hata speed yake imepungua.

Nyinyi nini nyinyi . . . Yaani huyo beki ana makombe kibao akifikia pale yeye na Maguire ukuta wake lazima muisome namba. Ni mwendo wa clean sheet day in day out.

Msimu umeanza clean sheet imekua msamiati.
 
Back
Top Bottom