Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Poch kuanzia southampton hadi Tothenham alijenga vikosi vizuri sana na timu zake zilicheza mpira mzuri sana.....tofauti ya Ole na Poch ni kuwa mmoja alifikisha final timu akiwa hajasajili kwa misimu 2 (spurs vs liverpool)....

Pia Tot walikuwa wanacheza mpira mzuri sana chini ya Poch japo falsafa yake haipo clear yani haieleweki kama ni pasi au nini..
.....japo ni attacking football ila haipo well organized kiasi hicho.....

tofauti nyingine ya Ole na Poch ipo katika technical ability haswa tactic yani wanacheza sawa tu ila poch anapata kilichobora kwa wachezaji kuliko ole pia anajua kutumia wachezaji kulingana na ubora wao.....

siunakumbuka dele ali alipanda bei hadi paund mil 100 haha..

anaejua atatuelewesha zaidi.
Pochettino ana timu kama PSG kwenye ligi ambayo iliondolewa kwenye ligi tano bora (ghafla ikarudishwa) ina wachezaji masuperstar tupu halafu clean sheet tu anaitafuta kwa tochi.

Mkimpa united na beki ni maguire na shaw kazi ipo.
 
Kuhusu Moyes na Westham Yake:
Kila mchezaji wa Hammers alivuja jasho na walikimbia kilomita nyingi sana ila suala kama hili huwezi kulikuta kwa wachezaji mabishoo wa Ole.
Work rate ya hii timu yetu ipo chini sana..City hawana wakabaji wengi wenye fiziki lakini wanavyopress na kuretain ball ni another level.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu Moyes na Westham Yake:
Kila mchezaji wa Hammers alivuja jasho na walikimbia kilomita nyingi sana ila suala kama hili huwezi kulikuta kwa wachezaji mabishoo wa Ole.
Hakuna mchezaji bishoo ila kuna kocha bishoo.

Mchezaji bishoo hawezi kupata nafasi ya kucheza kama kocha wake siyo bishoo
 
Wenyewe wanasema ndiye alifanya mapinduzi ya mfumo was Gegenpressing na pia ndiye mentor wa hiki kizazi kipya cha makocha waliowahi kufundisha bundesliga kama vile Thomas Tuchel, Julian Nagelsmann, Ralph Hasenhuttl na Jurgen Klopp.

Simuoni kama ni mwanadamu atakayehimili na kuvumilia udhaifu wa bodi yetu yenye tatizo la kutake action kwa haraka pale panapohitajika kufanywa hivyo.

Huyu mzee atatusaidia sana maeneo yote mawili ambayo bado yanaendelea kufanya vibaya, eneo la kwanza ni la ndani ya uwanja kwa kuimplement structure inayoeleweka kiuchezaji bila ya kujali mchezaji gani yupo uwanjani, eneo la pili ni recruitment kwa kutafuta wachezaji sahihi na wenye uwezo kwa bei nafuu watakaoweza kuingia kwenye mfumo kwa haraka.

Kuna mifano tele ya wachezaji waliopitia kwenye mikono yake akiwa kama kocha na hata DOF ambao wanafanya vizuri mpaka muda huu kwenye mchezo we soka kama vile sadio mane, werner,keita, firmino n.k

Tujaalie umeshamkabidhi ajira ya muda mfupi mzee rangnick, baada ya kuondoka kwake unachukua hatua gani?

Unadhani bodi itakwenda kuwatafuta wanafunzi wake na kuwapa timu au itaendelea kucheza squid games ili mradi Siku ziende.

Kwa ufupi hii bodie yetu itaelewa somo la urithi wa structure ya kiuchezaji kutoka kwa mwalimu A to B.
Tatizo la Man Utd ni kusajili waingereza wasio na vipaji kwa bei kubwa.

Sajili za vyombo vya habari.

Tuliwahi kuaminishwa akija Sancho tunachukua ubingwa.

Waingereza walitegemea Maguire angekuwa Vidic mpya.

Wanbissaka angekuwa bad news.

Wametegemea Luke Shaw angekuwa patrice evra.

Leo kiko wapi?

Hii timu itanusurika kwa kuondoka board na management yote. Iwekwe management inayoangalia vipaji na sio kelele za pundits.
 
Mnapanga mikakati ya kocha mpya wakati ole bado yupo sana
Wenyewe wanasema ndiye alifanya mapinduzi ya mfumo was Gegenpressing na pia ndiye mentor wa hiki kizazi kipya cha makocha waliowahi kufundisha bundesliga kama vile Thomas Tuchel, Julian Nagelsmann, Ralph Hasenhuttl na Jurgen Klopp.

Simuoni kama ni mwanadamu atakayehimili na kuvumilia udhaifu wa bodi yetu yenye tatizo la kutake action kwa haraka pale panapohitajika kufanywa hivyo.

Huyu mzee atatusaidia sana maeneo yote mawili ambayo bado yanaendelea kufanya vibaya, eneo la kwanza ni la ndani ya uwanja kwa kuimplement structure inayoeleweka kiuchezaji bila ya kujali mchezaji gani yupo uwanjani, eneo la pili ni recruitment kwa kutafuta wachezaji sahihi na wenye uwezo kwa bei nafuu watakaoweza kuingia kwenye mfumo kwa haraka.

Kuna mifano tele ya wachezaji waliopitia kwenye mikono yake akiwa kama kocha na hata DOF ambao wanafanya vizuri mpaka muda huu kwenye mchezo we soka kama vile sadio mane, werner,keita, firmino n.k

Tujaalie umeshamkabidhi ajira ya muda mfupi mzee rangnick, baada ya kuondoka kwake unachukua hatua gani?

Unadhani bodi itakwenda kuwatafuta wanafunzi wake na kuwapa timu au itaendelea kucheza squid games ili mradi Siku ziende.

Kwa ufupi hii bodie yetu itaelewa somo la urithi wa structure ya kiuchezaji kutoka kwa mwalimu A to B.
 
Ili hili zoezi lifanikiwe,watie kiberiti nyumba ya Ole au Ed mwenyewe. Kesho yake tu Breaking news fasta!
Wenzetu suala la kuandamana hawalikatazi ila ukishaanza kuleta mambo ya kuchoma moto utawashwa njugu bila huruma....
 
Alichokiumba Mungu binadamu hawezi kukitenganisha.

Ole ni chaguo la Mungu.

Hivyo mkae kwa kutulia.

Sisi mashabiki wa Nyumbu FC bado tunamuhitaji sana Ole.

Wanaomkataa ni mamluki...
Ugali wa bure huo!
 
Kwamujibu wa bwana Fabrizio Romano

“It’s not easy because he wants the full power on everything,” Romano said on his YouTube channel.
“It’s not just the technical point, the system or these kinds of things.
“He wants to decide on everything at the club and this is why Ralf Rangnick isn’t so easy for Manchester United....
 
Ole ni genius wa modern football, shida moja n kuwa hana watu
Magwaya, bisaka, cr7, Fred, baily, shaw, rashford, Bruno,
Hii ni mafurushi yanauochukua pesa tu pale

Sasa pogba au degea hawawezi kuibeba team kila game

Kwanini hamjiuliz kipigo cha mbwa mwiz na Liverpool na man city fimbo za kutosha
Lakin sosha ole master yupo bila wasiwasi!!!!
 
Reinforcement underway?
PSX_20211110_222728.jpg
 
Bruno Fernandez takwimu zake zinaogopesha na uchezaji wake unaogopesha
kama wewe unadhani football kwa midfield ni mchezo wa kutengeneza nafasi za magoli ya kufunga basi bruno ndiye kiungo mshambuliaji bora kwa sasa duniani.

Ila kama unadhani ubora wa kiungo mshambuliaji pia unapaswa kupimwa kwa kuangalia zaidi jinsi anavyo control mechi dhidi ya wapinzani basi bruno fernandez hawezi kuwa mchezaji bora.

  1. Guardiola hawezi kufurahia uwepo wa Bruno ndani ya timu yake
Huo ndio mtazamo wangu

hg92ajfc8ry71.jpg
 
Back
Top Bottom