Hivi Poch anatofauti gani na Ole mkuu?Naamini hivyo pia ....sema naona wanahangaika na succession plan .....wanawaza nani wampe timu pia wanavizia kupata kocha wa moja kwa moja na nafikiri kocha wanaemtaka yupo na timu
Ten hag. Poch na the others
Mbona edwoord alisha resign long time mkuu? Hivi Fletcher unajua anafanya kazi gani pale man united kweli?Erik Ten Hag ni mzuri ila ufanisi wake upo nyuma ya Edwin Van Der Sar (Football Executive) na Marc Overmas (Director of football) ukimchukua pekee yake kwa mfumo wa timu yetu namuona akifeli vibaya sana ndani ya muda mfupi sana.
Huu ni wakati sahihi sana wa ile nafasi ya Ed kupewa mtu mwenye uzoefu wa kuendesha vilabu vyao soka as a football executive. Wasifanye kosa la kuleta kilaza kama Ed, niliwahi kuelezea impact ya kuwa na mtendaji mkuu mwenye kichwa kizuri.
Wamiliki wa Man City waliponunua timu wakamtafuta football executive toka Barcelona Ferran Sorriano kuwaendeshea timu. Mtu wa kwanza kuanza kumuajiri alikuwa ni football director kutoka Barcelona Aitor Txiki Birigistan moja kwa moja wakaanza kusuka upya scouting staffs globally na wengi wao walitoka Barcelona.
Ferran Sorriano aliwaambia mabosi wa City ndani ya miaka 5 ya uongozi wake atabeba makombe 5 na Club itapunguza 50% hasara inazotumia kujiendesha na kweli msimu wake wa kwanza alimuondoa Mancini akamleta Manuel Pellegrini kichwani walifahamu fika wanamtaka Pep Guardiola. Sisi tunakosa hii kitu watu wanaojua nini wanafanya. Ole anacheleweshwa kufukuzwa ni kwa sbb Ed na DoF wake hawana mtu kichwani kwako atayeendelezea project waliyoipanga muda mrefu.
Angalia takwimu za hawa football Executive wawili walioanza kazi pamoja ndani ya hii misimu 9, Ferran Sorriano vs Ed Woodward
Ferran Sorriano (Sept, 2012 - )
Premier League trophies: 4
FA: 1
EFL:4
Ed Woodward (July, 2013 - )
Premier League trophies: 0
FA: 1
EFL:1
UEFA Europa: 1
Diego Simion aachane na Atleti? Kuwa serios mkuu..Duh! Kama mfumo wa uongozi utaendelea ule ule tunahitaji kocha mwenye kiburi na mjeuri aina ya Luis Enrique (#1) au Diego Simeone. Hawa baada ya majira ya kiangazi mwakani wanaweza kuachana na majukumu yao ya sasa.
Kwa sasa best option ni kocha wa mpito Carlos Queiroz (yupo timu ya taifa ya Misri) au hata huyu Ralf Rangnick ambaye baadae anaweza kupandishwa cheo kuwa director of football. Anaonekana ni mtu mwenye plan kichwani kwake.
Ili hili zoezi lifanikiwe,watie kiberiti nyumba ya Ole au Ed mwenyewe. Kesho yake tu Breaking news fasta!Hiyo tarehe 13/11 naomba Fans waliopo UK wakiwashe sana kwemye hayo maandamano.... bwana mdogo aone hatari iliyopo mbele yake
Una miaka mingapi? Kwa hii statement kuna uwezekanoKumbe ole kacheza na Mnyama CR7
Poch kuanzia southampton hadi Tothenham alijenga vikosi vizuri sana na timu zake zilicheza mpira mzuri sana.....tofauti ya Ole na Poch ni kuwa mmoja alifikisha final timu akiwa hajasajili kwa misimu 2 (spurs vs liverpool)....Hivi Poch anatofauti gani na Ole mkuu?
RB Leipizig, Schalke, Hoffenheim, Hannover 96.Huyu Ralf amewahi kufundisha timu ipi zaidi ya kuwa DoF pale Red Bull Liepzig .?
Ed Woodward didn’t resign, he announced that he would be leaving his post at the end of this year. Kwa kifupi bado yupo ofisini. Anajiandaa kuchukua nafasi mpya kama mshauri mkuu wa timu.Mbona edwoord alisha resign long time mkuu?
Technical director.Hivi Fletcher unajua anafanya kazi gani pale man united kweli?
Wenyewe wanasema ndiye alifanya mapinduzi ya mfumo was Gegenpressing na pia ndiye mentor wa hiki kizazi kipya cha makocha waliowahi kufundisha bundesliga kama vile Thomas Tuchel, Julian Nagelsmann, Ralph Hasenhuttl na Jurgen Klopp.RB Leipizig, Schalke, Hoffenheim, Hannover 96.
Nilimfahamu 2004 alipoichukua Schalke 04 kutoka kwa kocha niliyekuwa nampenda nikiwa mdogo Jupp Heynckes kwa ssb ya kazi yake Real Madrid. I was curious ni nani huyu anambadili Jupp pale Schalke kipindi hicho. Huu msimu Schalke wali-challege bundesliga walimaliza wa pili na walibeba kombe la ligi.
Umemuelezea vizuri kweli Jombaa. Huyu jamaa inaonekana ni mtu mwenye mikakati na endapo ataichukua timu kipindi cha mpito ni rahisi sana yeye kuwa very instrumental ktk kutafuta kocha mpya kwa utulivu.Wenyewe wanasema ndiye alifanya mapinduzi ya mfumo was Gegenpressing na pia ndiye mentor wa hiki kizazi kipya cha makocha waliowahi kufundisha bundesliga kama vile Thomas Tuchel, Julian Nagelsmann, Ralph Hasenhuttl na Jurgen Klopp.
Simuoni kama ni mwanadamu atakayehimili na kuvumilia udhaifu wa bodi yetu yenye tatizo la kutake action kwa haraka pale panapohitajika kufanywa hivyo.
Huyu mzee atatusaidia sana maeneo yote mawili ambayo bado yanaendelea kufanya vibaya, eneo la kwanza ni la ndani ya uwanja kwa kuimplement structure inayoeleweka kiuchezaji bila ya kujali mchezaji gani yupo uwanjani, eneo la pili ni recruitment kwa kutafuta wachezaji sahihi na wenye uwezo kwa bei nafuu watakaoweza kuingia kwenye mfumo kwa haraka.
Kuna mifano tele ya wachezaji waliopitia kwenye mikono yake akiwa kama kocha na hata DOF ambao wanafanya vizuri mpaka muda huu kwenye mchezo we soka kama vile sadio mane, werner,keita, firmino n.k
Tujaalie umeshamkabidhi ajira ya muda mfupi mzee rangnick, baada ya kuondoka kwake unachukua hatua gani?
Unadhani bodi itakwenda kuwatafuta wanafunzi wake na kuwapa timu au itaendelea kucheza squid games ili mradi Siku ziende.
Kwa ufupi hii bodie yetu itaelewa somo la urithi wa structure ya kiuchezaji kutoka kwa mwalimu A to B.
Poch kuanzia southampton hadi Tothenham alijenga vikosi vizuri sana na timu zake zilicheza mpira mzuri sana.....tofauti ya Ole na Poch ni kuwa mmoja alifikisha final timu akiwa hajasajili kwa misimu 2 (spurs vs liverpool)....
Pia Tot walikuwa wanacheza mpira mzuri sana chini ya Poch japo falsafa yake haipo clear yani haieleweki kama ni pasi au nini..
.....japo ni attacking football ila haipo well organized kiasi hicho.....
tofauti nyingine ya Ole na Poch ipo katika technical ability haswa tactic yani wanacheza sawa tu ila poch anapata kilichobora kwa wachezaji kuliko ole pia anajua kutumia wachezaji kulingana na ubora wao.....
siunakumbuka dele ali alipanda bei hadi paund mil 100 haha..
anaejua atatuelewesha zaidi.
Kama ambavyo mimi huwa simuelewi Poch kwenye suala la mbinu na team management ndio maana naona ni mara 10 kumchukua Rodgers kuliko yeye. Msimu wake wa mwisho pale Spurs,timu ilikuwa inaelemewa kwa kila kitu lakini jamaa hata hastuki,ni heri ya Ole huwa anachungulia ka screen kake upande wa kushoto kutafuta maneno ya kutudanganya kwenye mahojiano.
- Pochettino haiwezi Manchester united