Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Genius Sosha Ole
IMG-20211113-WA0005.jpg
 
Source ya hii khabari please!
HABAR ILIOPO MANCHESTER

Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT

Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo isichezwe wamekubali hata Watford wapewe points ilimradi tu sosha aondoke

Mpaka sasa manchester wanawatag makocha watatu 1zizu 2 Eric hag 3 Luis Enrique

Rio Ferdinand yuko tayari katika maandamano hayo kuungana na mashabiki ili kuinusuru manchester na kufukuzwa kwa ole

Kwa upande mwengine Edwoodward anaweza asiwe na cheo chake huenda kikachukuliwa na mtu mwengine

Kwa upande Edwin van dar Sar anaweza Kuja United kuwa mzee wa kuleta vipaji pale OT

inawezekana sosha asirudi Tena kwa taarifa zilizopo timu sasahivi yupo nayo Michael Carrick mpaka watakapoamua yao maana mashabiki washasema wataandamana na ndo mana Sosh yupo pembeni kwanza anasikiliza upepo

Hayo ndio yaliopo ila naamini kila mmoja wetu humu anatamani ifike siku ya jmosi ili ajionee kile kitachojiri pale old Trafford

NINI MAONI YAKO SHABIKI MWENZANGU
 
Bruno Fernandez takwimu zake zinaogopesha na uchezaji wake unaogopesha
kama wewe unadhani football kwa midfield ni mchezo wa kutengeneza nafasi za magoli ya kufunga basi bruno ndiye kiungo mshambuliaji bora kwa sasa duniani.

Ila kama unadhani ubora wa kiungo mshambuliaji pia unapaswa kupimwa kwa kuangalia zaidi jinsi anavyo control mechi dhidi ya wapinzani basi bruno fernandez hawezi kuwa mchezaji bora.

  1. Guardiola hawezi kufurahia uwepo wa Bruno ndani ya timu yake
Huo ndio mtazamo wangu

View attachment 2006297
Nilishasema humu kama Bruno angekuwa hatengenezi nafasi nyingi za kufunga ikiwemo kufunga magoli yeye mwenyewe.

Basi hata Thomas Soucek angekuwa bora kuliko Bruno.
 
Anae muaminisha Ole kuwa hata forward anaweza kuwa kocha bora ni ferguson,, kwa sababu hata yeye ferguson alikua forward ... ila nje ya hopo maforward wakiwa mamanager huwa wabovu sana ....

Tumpe muda fernando torres atakuja kuwa mbovu sana .... watu wanaoelewa kufunga tuu unawapa vipi kufundisha timu
Jurgen Klopp alikuwa foward pia.
 
Jumapili tulivu nimejipumzisha home, ila nikikumbuka kocha wetu bado ni OGS nauzunika, yaani pamoja ni kile kipigo cha 5 - 0 toka kwa mahasimu wetu bado bodi ina matarajio+ na OGS
 
Roy Keane atawazaba makofi kina Maguire mchana kweupe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndio kinachokosekana Manchester united.. aje kocha ambaye anakutwika fuko la mavi. Ferguson hakumkaripia David sinkwa Sabab hampendi Ila hataki ujinga...wote wanaolea watoto ukimlea mwanao kizembe zembe atakuwa wankijinga..

Wachezaji the same... Tunataka kocha mkali hao wote mnaosema wanakuja asijebkocha wa kijingajinga.. mchezaji ni mdg kwako na unajua anatakiwa afanye kazi
 
Hicho ndio kinachokosekana Manchester united.. aje kocha ambaye anakutwika fuko la mavi. Ferguson hakumkaripia David sinkwa Sabab hampendi Ila hataki ujinga...wote wanaolea watoto ukimlea mwanao kizembe zembe atakuwa wankijinga..

Wachezaji the same... Tunataka kocha mkali hao wote mnaosema wanakuja asijebkocha wa kijingajinga.. mchezaji ni mdg kwako na unajua anatakiwa afanye kazi
Michezaji ya siku hizi inadeka kinoma huku inakunja mipunga ya maana..ukiwa kocha mbabe wanakuundia zengwe..

Kina Hazard walimsusia Mourinho hadi akafukuzwa.

Though Socha anaonekana hata ule ukali wa kawaida tu hana.

Nilimuona siku moja tu akimkaripia AWB tena ilikuwa fainali ile ya Europa baada ya sisi kufungwa ndo akaanza kuchanganyikiwa,wakati ilibidi awe serious na akaripie makosa tokea dakika ya kwanza na awakaripie wachezaji wote asiwe na favouratism.
 
Yaani, japo sijawahi kumkubali "kama kocha", lakini kwa kweli ninasikitika sana kwa kinachoendelea kwenye media juu ya bwana OLE.
Na kinachosikitisha ni kwamba yaani situation inayotengenezwa ni almost similar na ile iliyotengenezwa mpaka kufikia Van Gaal kufutwa kazi akaajiriwa josee.

Kunatofauti chache sana, hasa kwamba sasa hakuna dorminant person anayetajwa kuwa tayari kuchukua nafasi yake, kama ambavyo josee alikuwa anatajwa kipindi cha van gaal, japokuwa uwapo wa sokoni zidane na namna anavyotajwa unakaribia sana scenario ya Van Gaal.

Yaani kimsingi niwashukuru sana hao wanamedia wa uk kwa namna ambavyo wanaexert maximum pressure kwa OLE kuondolewa, the pressure is maximum to say the least.

Yaani sasa kila anachokifanya OLE au kinachofanywa na wachezaji wa man utd makosa na mashambulizi yote ya lawana anaelekezewa OLE.
  • Immedietely baada ya international break kuanza akapanda pipa kwenda kwao, mashambulizi aliyoyapata sio ya kitoto kwa maamuzi haya.
  • Bailly kaomba msaamaha mashabiki kwa kujifunga gori, lawama zote kapewa ole kwa kitendo cha bailly
-karudi kwenye mazoezi, kamchezesha sancho full back no, 2 kwenye mazoeti, yaani kazodolewa sijawahi ona.
- maguire kafunga gori na kusababisha maswali mengi sana dhidi ya OLE.
-Imejurikana Pochetino kabakisha mwaka mmoja PSG, anashambuliwa OLE JUU ya kauli zake kabla ya Pochetino hajapata kazi PSG.

Kimsingi kama ana akili angesepa tu.
 
Back
Top Bottom