Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
KvpKesho watu watafurahi sana humu ndani.....
KvpKesho watu watafurahi sana humu ndani.....
Au mmasai anarudishwa umasaini?
Huyu kocha sikuelewa kwanin walimfukuza wakati alishaanza kujenga team na watoto kibao aliwapandisha team kubwa.Fikra za huyu jamaa na Van Gaal naona kama ziko sawa, wamlete van gaal ambaye ana proven record. Unajua wakati man u wanamfire van gaal wao wenyewe walikuwa na hangover ya past success ndio maana hawakuwa na patiency na strategies zake wakakimbilia kwa mcheza Nanii Joseph wakapata nae walichokipata.
Ukumbuke kitu kingine kilichomfukuzisha Van Gaal ni management kusikiliza malalamiko ya wachezaji kama Martial ambao van gaal alikuwa anawafokea vibaya sana kwa ulonyalonya wao, watu ambao kumbe ni feki kabisa.
Kivipi mkuu? Humu ndani kuna man u na haters, kundi lipi litafurahi?Kesho watu watafurahi sana humu ndani.....
Moyes na Ole ni takataka zililetwa na Fergie.Kuna rafiki yangu mmoja mtaani aliwahi niambia kua timu yetu haiwezi kurudi tena kama zamani mpaka Ferguson afe.
Siku ile nilimuona kama karopoka tu kwakua yeye ni mshika manati.
Ila kwakweli naanza kuamini mdogo mdogo.
Hata uwepo wa Ole mpaka sasa pale OT unatokana na Ferguson, laiti angekua kocha ambae hayupo ndani ya mfuko wa suruali ya Ferguson saizi Ole tulisha msahau tangu tulipo donyolewa na kuku.
Kuku alitufanya kitu mbaya sana.
Kichapo kile kiliidhinisha kabisa kufukuzwa kwa Sorkjaer, lakini kwakua yuko ndani ya mfuko wa suruali ya babu mpaka leo tunaendelea kumuona akitamba.
TATIZO SIO WACHEZAJI, KOCHA, WALA UONGOZI, TATIZO NI ZIDUMU FIKRA ZA FERGUSON.
Moyes na Ole ni takataka zililetwa na Fergie.
Huyu mzee aachane na Man Utd for good.
Bora wamfukuze hata huyo DoF wa sasa.Huyu ralf rangnick ni kocha mzuri sana kwa aina ya m0ira anaocheza na falsafa yake kiujumla.....
"2019 aliulizwa kuhusu matatizo ya manchester united akasema shida yetu ni katika usajili yani tunasajili wachezaji wengi wasio sahihi, akasema ni bora tusisajili kabisa kuliko kusajili wachezaji wasioendana na mfumo akasema ukizingatia kutafuta kipaji kwakuangalia mfum9 wakiuchezaji wako unauhakika wa 50 kupata the best team....akazungumzia structure ya kupata kocha bora wakuendeleza hivyo vipaji"
Atakaepata hiyo taarifa nitaomva ailete hapa....ralf rangnick analysed manchester united failure 2019
Shida kubwa rangnick anataka interim hadi mwezi wa 5 mwakani...kisha apewe direvtor of football....nafasi ambayo tayari inamtu murtough
Van Gaal hawezi kurudi kirahisi hivyo.Fikra za huyu jamaa na Van Gaal naona kama ziko sawa, wamlete van gaal ambaye ana proven record. Unajua wakati man u wanamfire van gaal wao wenyewe walikuwa na hangover ya past success ndio maana hawakuwa na patiency na strategies zake wakakimbilia kwa mcheza Nanii Joseph wakapata nae walichokipata.
Ukumbuke kitu kingine kilichomfukuzisha Van Gaal ni management kusikiliza malalamiko ya wachezaji kama Martial ambao van gaal alikuwa anawafokea vibaya sana kwa ulonyalonya wao, watu ambao kumbe ni feki kabisa.
Unaruka mavi unakanyaga mavi.soon tunatua mzigo rohoni, kwa namna yoyote ile bwana ole inabidi akatafute ajira kwingine aachane na man u kabisa
View attachment 2002504













Ed alisema anajiuzuru mbona kimya?Van Gaal hawezi kurudi kirahisi hivyo.
Ile interview yake aliinyea management ya Utd vibaya sana.
Na ukiangalia structure haijabadilika mpaka leo.
Aje kufanya nini kwa management isiyompa ushirikiano?
Ed alisema anajiuzuru mbona kimya?
Ed alisema anajiuzuru mbona kimya?
Labda ndo anakabidhi ofisi sasa.Ed alisema anajiuzuru mbona kimya?