Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726



maisha haya asee tutafanyaje tu hata tukinuna hafukuzwii dawa za kimasai hatari sana.


maisha haya asee tutafanyaje tu hata tukinuna hafukuzwii dawa za kimasai hatari sana.
zamani hapa unakuta text page 5 kila ukiingia watu wanatiririka tu praise team Ole kajua kutunyoosha yani nyumba yetu wenyewe tunaikimbia.Wewe unaujua!?Unamlaumu vipi mlinda mlango kwa kazi aloifanya,
au mpira hauujui mkuu
Kweli bwanaAngekuwa Vontr master techniques tungeshinda,ila nakwambia leo tutakimbizwa balaa,na bora Bailly apangwe walau kudhibiti wakina Stearing
Kumbe??Unaweza ukaaamini tuliwahi kuongoza league?
Japo wamemfunga brentford..lakini kocha kafurushwa..Norwich washafukuza kocha ole mitano tena
Na kufunga 19..what a disaster.Kwa timu zilizo top 10 mpaka jioni ya leo. Man Utd ndio imefungwa magoli mengi zaidi. magoli 17.





Haki yenu kutucheka, yaani inasikitisha ila mtuombeeOle hawezi mifumo yote ...
Ajaribu 8-1-1
Mnaonaje wadau![]()


















.....















































































