UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 739
- 905
Daahh, Hali mbaya jamani,hiv zile mechi za mwanzoni kabisa si tulikuwa vinara wa ligi ya epl,Yani Sasa hivi tunaombea bahati,daaah Yani nikiona tu neno TEAM VIEWER Basi namkumbuka mgonjwa mahututi wa kansa ya ubongo na mgonjwa huyo ni man United...

wazee mbona hata Liverpool hajatuacha sana point tano tu nipeni mda msijali relax"