It is derby matchday na watu tumekuwa wanyonge kama nini humu..
Daah,anyway..GGMU.
Ukimpima Ole kwa kumfunga Pep utakuwa uwongo..maana leo tunaweza kushinda out of nowhere coz pia huyu Ole huwa anamnyanyasa sana Pep.
Mi nahisi atabaki na 353Ole leo arudi 4-2-3-1
2:30 hrs to kickoff..we will find out.Tunapoteza leo mkuu mark my words
Aloo kama kile kipigo cha mbwa mwizi cha 5 bila hakikumfukuzisha kazi basi tusitegemee kufungwa game hii kumfukuzishe kazi.mechi ya mwisho ya ligi ole alimfukuzisha nuno, leo anafukuzwa yeye shwain
Nasikitika kukuambia kuwa bado Ole anakula tu mayai na maini pale Old Trafford.Bado hajafukuzwa tu
Angekuwa Vontr master techniques tungeshinda,ila nakwambia leo tutakimbizwa balaa,na bora Bailly apangwe walau kudhibiti wakina StearingNasubiri kuona kikosi na mfumo atakao kuja nao OLE leo.
Taarifa zinasema Cavani is injured, Lindelof doubtful. Mechi ya leo sioni ikiwa rahisi tukicheza bila mawinga. Kwenye 3-5-2 bado LWB na RWB hawafanyi kazi yao ipasavyo.Mi nahisi atabaki na 353
De Gea
Bailly Maguire Shaw
AWB McFred Fernandes Telles
Ronaldo Cavani
======
Au if Lindelof is fit.
=======
De Gea
Bailly Lindelof Maguire
AWB McFred Fernandes Shaw
Cavani Ronaldo
Kikosi kimetoka..kama kawa Ole kaenda na 352.Taarifa zinasema Cavani is injured, Lindelof doubtful. Mechi ya leo sioni ikiwa rahisi tukicheza bila mawinga. Kwenye 3-5-2 bado LWB na RWB hawafanyi kazi yao ipasavyo.
4-2-3-1 is the way to go. Acha tusubiri Ole anaonaje leo.
Nimeona mi nasubiri tu mechi sasa.
Naona siku hizi mambo yako ni super maana Martial hapangwi kabisa ausio.Mkuu unamuongelea Tominay yupi? Huyu wa sasa ni mwamba imara sana. Mgumu kweli kweli, mgumu kama Fred.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Cavani unamuona benchi?Safiii...ingawa hapo kwa Greenwood angemuweka Cavani ili tushinde mapema...View attachment 2000754
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mangi brace yourself maana na leo mnakula tena kichapo kizito.