It was just a matter of time tu ndugu.Unaweza ukaaamini tuliwahi kuongoza league?

yani nadhani ingekua hiari yake angemtoa kipa akapate kahawa wacheze 10.TehTehTeh!...poleni mkuu Ndo mpira huo, nakumbuka zile mechi 3 za kwanza za EPL mkajinasibu kuwa #HUKU_JUU_BARIDI #WAZEE_WA_KILELENI.Unaweza ukaaamini tuliwahi kuongoza league?
aiseeSocial Media Team walijichanganya post ya Martinelli wakapost kwenye account ya Bruno.View attachment 2001999




Nilishawahi kuwaambia humu.Ferguson anatuharibia timu
Kwa kifupi OLE amepanic. Hivi hizi kazi za ukocha hazinaga utaratibu wa kumpa mtu likizo japo ya two weeks. I think this man needs some time off ama sivyo ataendelea kuharibu vibaya sana.Ole anafurahisha Sana,Hana formation maalumu.Akiona formation inampa matokeo kwenye mchezo mmoja bas ataitumia kwenye mchezo ujao,ikitokea akafungwa bas ataachana na formation hiyo atahamia kwenye formation nyingine 🤣🤣jamaa ni mtu wa trial and error...
Kuna rafiki yangu mmoja mtaani aliwahi niambia kua timu yetu haiwezi kurudi tena kama zamani mpaka Ferguson afe.Ferguson anatuharibia timu