Absolutely a shocker..4 touches in the city's box and only one corner
Tuna kocha mbovu ndio..ila pia tu a wachezaji vichwa maji kinoma mfano goli la pili..what was that??..Maguire na Shaw wanawezaje kuitwa international footballers kwa blunder ile..
Aisee 353 is not working,4231 is not working..
We are fucked..



Kwa uchezaj ule hayarudishie wap mkuu..man u wamechezaj kama watt wa sunday league...City leo kwnz hata sub hawajafny uone wachezaj wa team ambayo iko na fitness na properly coached.Hawa City wajiangalie sana Ronaldo hachelewi kurudisha magoli hayo
Ole must stay.
Nadhan hata mshipa wa aibu Ole hana...huwez kua legend ukashindwa hata kujiuzur kwa faida ya team na heshima yako...ana damage sana reputation yake
Mkuu hapo anamtetea Ole kwamba wachezaji ndo wanamuangusha, kocha hajaguswa hapo
Logically inamaanisha anakubali kwamba Ole siyo kocha mzuri
Hv hyu Baby face anakili kweli na je wamiliki nao watazama mpira au wao wako bze kwa volleyball?
Anayepanga kikosi nani?Mkuu hapo anamtetea Ole kwamba wachezaji ndo wanamuangusha, kocha hajaguswa hapo
Najua kuwa fomesheni si lolote..ata mimi naweza kajamba nani naweza kupanga.Ishu sio mfumo gani unatumika
Ishu ni mbinu zipi zinatumika ndani ya mfumo.
Ishu ni wachezaji gani wataperform vizuri kwa aina ya mfumo uliochagua
Ndio maana mbinu na style ya uchezaji wa 433 ya klop ni tofauti na Pep
3-4-3/3-5-2 ya Tuchel ni tofauti na Conte.
Kwahiyo Ole asijipangie mfumo ambao hauna style ya uchezaji as well as mbinu bora ndani yake na wrong selection of players.