Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
View attachment 2001120
Bado yupo yupo sana mwanetu.
wachezaji wote wa Man U ni selectable. wao wenyewe wachezaji wanasema they have tactical problem.Ishu sio mfumo gani unatumika
Ishu ni mbinu zipi zinatumika ndani ya mfumo.
Ishu ni wachezaji gani wataperform vizuri kwa aina ya mfumo uliochagua
Ndio maana mbinu na style ya uchezaji wa 433 ya klop ni tofauti na Pep
3-4-3/3-5-2 ya Tuchel ni tofauti na Conte.
Kwahiyo Ole asijipangie mfumo ambao hauna style ya uchezaji as well as mbinu bora ndani yake na wrong selection of players.




😀😀 nimecheka sana eti headless chickens!, lakini naumia sana.Ole out its now or never we cant play like headless chickens