computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hili jukwaa lifutwe halina Maana kwa sasa
😂😂😂😂kwa hio hivi mlijua mna uwezo wa kuifunga man city leo.acheni utani nyie 😂😂Timu inayosubiri kutegemea bahati,ngoja tusubiri hizo bahati katika dunia hi mmhh!, Hii timu siyo ya ushindani ni li timu tu la kukamilisha ratiba tu basi,watu wanacheza cheza tu na kocha naye Kama mdoli...
Bailly kaishia kumdhibiti Da gea.Angekuwa Vontr master techniques tungeshinda,ila nakwambia leo tutakimbizwa balaa,na bora Bailly apangwe walau kudhibiti wakina Stearing
Daah kweli asee kumepokea tena kichapo..Mangi brace yourself maana na leo mnakula tena kichapo kizito.
Ungesema city wasiumize kichwa juu ya Ronaldo hachelewi kuboronga.Hawa City wajiangalie sana Ronaldo hachelewi kurudisha magoli hayo
Sijasema kuwa tuna uwezo wa kuifunga man city,labda ume missinterprete visivyo...rudia kusoma Tena,haya ni malalamiko yetu ya kila siku toka msimu huu uanze...😂😂😂😂kwa hio hivi mlijua mna uwezo wa kuifunga man city leo.acheni utani nyie 😂😂
Not the formation, not the philosophyTunakocha mbovu ndio..ila pia tu a wachezaji vichwa maji kinoma mfano goli la pili..what was that??..Maguire na Shaw wanawezaje kuitwa international footballers kwa blunder ile..
Aisee 353 is not working,4231 is not working..
We are fucked..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpira sio tunguriIt is derby matchday na watu tumekuwa wanyonge kama nini humu..
Daah,anyway..GGMU.
Ukimpima Ole kwa kumfunga Pep utakuwa uwongo..maana leo tunaweza kushinda out of nowhere coz pia huyu Ole huwa anamnyanyasa sana Pep.