Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi wana jamvi tukifukuza ole pale kwasasa tutaleta kocha gani maana conte ndo uyo?
Wapo wengi sana ila kwa wanaoweza kuendana na mifumo ya soka la ushindani wa kisasa pia kocha mwenye kiburi kwangu mimi Luis Enrique anaweza sana kufaa.

Erik Ten Hag ni kocha mzuri ila nikimuangalia vizuri kwa jinsi timu yetu ilivyo na uswahili fulani wa ma-legend ku-influence utendaji wa benchi la ufundi, sioni kama huyu jamaa ana ujeuri wa kuwadindia.
 
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom