NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,943
- 12,695
Kuna muda nakuwa Napata hisia kali sana kuhusu Sir Fergie huyu babu nuksi sana mi nishaona kama vile hataki rekodi zake zifunikwe na Mtu yeyote pale OT hivyo basi anafanya kila namna yani figisu figisu tu SOLSKJÆR abaki ili tuendelee kupigwa tu abaki kuwa kileleni kwenye kutwa makombe Pale OT maana keshaona kikosi tulicho nacho ni kikubwa mno kuliko alichokuwa nacho kipindi chake hivyo basi anaona akija Kocha mzuri Pale nikujizolea tu Makombe ama nyie mnaonaje?..?Dah ila hii team yetu bado sana tukiendelea kuwa na kocha huyu haya mashindano tutakuwa wasindikizaji tu nawaza ndo unakutana na team kama Bayern
.
