Maishanimagumu
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 258
- 578
Nadhani hii mechi ilimhitaji van de beek kuliko Pogba
Yani Bruno huwa anataka cr7 afunge tu.
Bado natafakari waliosema CR7 ni mzigo cjui walimaanisha nini aisee.
Mechi zote za UEFA tulizoshinda ziliamuliwa na Ronaldo, anzia ile ya Villarreal, Ya atalanta iliyopita na hata ile ya youngboys alitoka na goli.Bado natafakari waliosema CR7 ni mzigo cjui walimaanisha nini aisee.
Bailly beki sana kocha tu hamuamini na leo kapata nafasi sababu ya knock ya IcemanoYaaa wakuu MMEONA ANACHOKIFANYA ERIC BAILLY?...?View attachment 1996310
Yani wanataka ronaldo afanye nini ili wampe heshima yake, au kisa ni mchezaji mkubwa basi wanataka kumkosoa tu ilimradi, jamaa anacheza kama kijana wa miaka 18 haoneshi kuzeeka, mechi karibu zote alizocheza za utd tangu kurudi kwake anatubeba lkn mtu anaibuka na kusema eti ni mzigo, huu ni unafki wa kiwango cha makinikia.Wanakosaga chakuongea tu
Huyu aliongopa umri co mkubwa huyu.Huyu jamaa mnae mwita BaBu naomba mmwaaaaaache.View attachment 1996311
Kwanza yupo slow mno, Utd waangalie pa kumpeleka next season, asiwepo kikosini huyu. Mm nampenda lkn hapendeki, anacheza kama yuko peke yake uwanjani wala hajali kabisa, ni aibu sana kucheza kwa style ile, ananiangusha sn.
Dah ila hii team yetu bado sana tukiendelea kuwa na kocha huyu haya mashindano tutakuwa wasindikizaji tu nawaza ndo unakutana na team kama Bayern
Mctomy ni jipu linalosubiri mtumbuaji.Van De Beek alishafeli hapa..Fred (mapafu ya mbwa) tu ndio mpambanaji hapo kati.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app